Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

kuwa unaanzisha mtanange wewe ... mtege jiingize mwenyewe dushe ... ukisubiria akuguse wakati we humgusi utasubiria hapo.... ni hivi kama unapenda kuchapwa kalio uwe unamchapa ila ni tabia mbaya kumchapa mwanaume kalio.... mshike nyonyo... wakati mwingine mpandie kifuani mbusu mbusu kuwa mchokozi... hapo lazima uhakikishe mtoto amelala
 

ha ha haaa; hakyanani nyie vijana...!
 
Umemshauri vizuri sana.chukua ushauri huu na ufanyie kazi.Pia usisahau kumuomba Mungu wako.
 

Inategemea na kama hakugusi anza kumgusa wewe.
 
Unakaa tu hapo kitandani kama gogo ukingojea akusogeze au?
Uwe unalala bila nguo, umesikia?
Mtoto mweke kitanda tofauti
au mtoto laza ukutani hukoo, wewe mkabe vizuri sana mumeo,
yaani hapo weka ziro distance.
halafu ukija hapa utoe majibu.
 
Ulikwisha zungumza nae kuhusu hilo? Ama ndio kukimbilia kwenye social media mapema hata kabla jambo halijawa gumu. Acha uvivu timiza wajibu wako kwanza then ukishindwa wana JF watakusaidia kimawazo.

Ama ni tanganzo la biashara in direct Love connect maana hii dunia bwana

cc amoxillin
 
Last edited by a moderator:
nimetetemeka, miezi 9 hujapigwa kitu? Pana volcano inafukuta hapo.

Yaani inaonyesha kichupa cha huyu dada kishajaa hadi karibia kinamwagika na akikutana na mjanja yeyote akiguswa kidogo tu lazima amwekee V


Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 

Haya maoni binafsi nimeyachukua nakuongezea ujuz
 
vunja ukimya mwambie mume wangu,,,shamba laka linaitaji palizi,vipi mbona umejisahau toka mavuno mwenzangu..au una shamba lingine??????????? atakuelewa tu mwana jf
 

mmmmmmmmhhh!!!
 
Thanx kwa ushauri mzuri, kwa suala la usafi najiamini, najitahidi sn, perhaps even more than before sijapata mtoto, kwa ufupi nilishakuwa na uelewa tayari kwamba wanaume wengi hupoteza hamu kwasababu wake zao huwa careless after birth.Ninatabia njema kiasi kwamba naona ndoa yangu ni paradiso ndogo, shida ni hapo tu kwenye tendo.
 
Case yako haitofautiani sana na ya kwangu. Ila nashare na wewe tofauti ya case yangu na yako ili kuona namna ya kutatua tatizo lako.

Tulijitahidi sana kufanya mapenzi salama kulingana na hali yake. Na hii tulifanya kwa kujihusisha zaidi na masomo au ushauri kuhusu kufanya mapenzi na mama mjamzito.

Nakumbuka trimester ya pili vile vichefu chefu vinaisha. Hapa mimi na mke wangu tulijitahidi sana kutoka. Mke wangu alijitahidi sana kujiweka safi, kupendeza. Yani she was hotter than akiwa si mjamzito.

Tatizo alipojifungua sasa.

Kwanza nikapotezewa. Unatambua kuwa sisi wanaume tusipofanya mapenzi muda mrefu tunakuwa kama na hasira. Kusema ukweli nilikaa some good quality time bila kufanya mapenzi na mke wangu kutokana na hali yake na iliniaffect kiaina. Ila nikawa namshirikisha na sometimes tulikuwa tunafanya some good romance mpaka mtoto alipokuwa mkubwa kiasi.

Tatizo lingine maziwa na dogo ana timing sana. Yani kama anajua sasa wanataka kuenjoy basi ndio kilio.

Ushauri ongea, kuwa open. Kufanya tendo la ndoa mnaweza kufanya na sio lazima kama hamfanyi eti anachepuka. Sio lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…