Nimechanganyikiwa mwezenu


Ndoa yenu ilivunjika lini? tarehe 9 dec 2013 ulianzisha thread ambayo unamtafutia mumeo dawa ya kuongeza nyege, leo unadai una mchumba, ndoa imevunjika lini?

Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani
 
Eeee pole wee, umempenda sana umezaliwa naye huyo au mmekutana kimjinimjii na meno 32+minywele kila kona?? cha kukuliza saana na kumtumia mpk mamayo aongee aye ni kipi haswa au wewe na mamayo mnashea hilo dushelele!!! Mwanamke kujiamini bibie hata kama sura kama remy ongala ila jiamini na simamia ukweli wa jambo. Akikuchukia yeye akakupenda Mungu mbona inatoshaa!!! JAMANI EEE MI UKINIONA WA NINI NAKUONA WE WAKAZI GANI.
 
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!.......
it may be all men but not me.

Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
tatizo wanawake wakishaamua hawasikilizi mtu wala ushauri wowote mpaka watakapokuta mambo ndivyo sivyo ndio wanakuja kuomba msamaha na wakuwaga na jeuri sana wanapoamua kumwacha mwanaume na ndio mana wanaume wengi wanakuwa wagumu sana kusamehe pale wanapokumbuka jeuri na dharau walizofanyiwa alafu leo eti watoe msamaha kirahisi tu,inakuwa ngumu sana,japo mimi sina neno kabisa
 
Ukiona anaendelea kunata we mpotezee,huenda alikuwa anatafuta sababu ya kukuacha,hawa wanaume sio wa kuwapa moyo wako asilimia 100%

Mpe 1%,wewe baki na 99%,that will be much safer for you.

Upuuzi kabisa kumpa binadamu mwenzako 100% ya moyo wako.....

Ukitemwa unaanza kulalama, kwanza mimi naona the guy has insecurity issues. Labda kama bibie anaficha kitu, labbda kama hayo mazungumzo yalikuwa na maana ya kumkubalia, labda kama aligegedwa, otherwise hiwezi ku overreact kisa watu wameongea, usimfunge mtu kuwa na maongezi na wengine, after all mwanamke kutongozwa sunna!!!!!
 

Exactly.......
Hao sio mume na mke, everyone has the right to meet other people, have mere conversations. Ili mradi hawagegedani..
 

Nipe tano:thumbup:
 
Hebu acha uongo umechanganyikiwa wapi wakati umeweza kuja na kuandika thread.

Kuchanganyikiwa unakusikia nini hukujui?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…