MIMI ni mdada ambaye nimepata matatizo,
nilikuwa nina mpenz wangu, kwa kweli alinipenda sana.Kila nikichohitaji amenisaidia.
Wik iliyopita kuna mkaka alikuwa ananisumbua sana kuonana na mimi nikaamua kukubali kuonana nae ili nimsikilize anachotaka kuniambia.
Bahati mbaya mchumba wangu kasikia kila kitu,kaniacha hataki kabisa kunisamehe na kila nimpigiapo simu hapokei na saa nyingine anakata.
Naomba msaada wenu wakuu nifanye mbinu gani anisamehe?
Hadi mama yangu kaniombea msamaha lakini mchumba wangu kakataa.
Nifanyeje? jaman nimechanganyikiwa.
Naomba msaada wa mawazo.