Bed psy somo la kufundishia ni moja au utaratibu umebadirika siku hizi?Hyo BED Psy ni nzur utasoma ualimu wa masomo yako mawili ya kufundisha pamoja na psychology ww una bahat umechaguliwa coz nzur alaf unataka vitu visivyoeleweka course za ualimu ni nzur
Vijana wa siku hizi,kila kitu mnataka mtafuniwe!!sasa wakati unachagua hukujua Kuna hiyo kozi nyingine Ardhi?hukufanya uchambuzi kujua nini usomee?Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional planning kama ninasifa za chuo husika?
Vyuo vinatofautianaBed psy somo la kufundishia ni moja au utaratibu umebadirika siku hizi?
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app