Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Whaaat? MaaÃnina zako weye! Uliambiwa Lady doctor ni maharagwe ya Mbeya? Mkome!!
tena wakome wakomae
Last edited by a moderator:
Whaaat? MaaÃnina zako weye! Uliambiwa Lady doctor ni maharagwe ya Mbeya? Mkome!!
Whaaat? MaaÃnina zako weye! Uliambiwa Lady doctor ni maharagwe ya Mbeya? Mkome!!
Haiwezekani nasema tena haiwezekani students waache kusoma waje jf twente foo hawaz na xana zao badala ya sana! Pia haiwezekani na sipendi watu wamtongoze my wife wangu Lady doctor laiv laiv bila chenga!
Haiwezekani mahakama iingilie kesi za chama
Nitake radhi kaka yako nisijepiga p.mbu chini ukahanisika! Tafuta kwenye kamusi neno MaaAnina!
Lady doctor anatutongoza laiv laiv..
Sisi ndo tumejitahidi kuw kama #Yusufu ...
Tumeikimbia zinaa na mke wa mtu, hebu we Arusha one tupongeze japo kwa hilo...
kweli kabisa love, siwezi msaliti huyu waubani wangu... Nampenda sana!
Ila kumbuka tulikubaliana tuliyoyafanya kule migombani Kiwira ni siri yetu wawili tu.
ndiyo! tulikubaliana ile mikungu yoote tuiuze kwa bei ya jumla kwani umebadilisha mawazo tena?????
Ewaaa... kwa sasa niko Makambako hapa, utanikuta Mabibo mahakama ya ndizi, I hope ile ndizi niliyokupa uliipenda, huwa nalima sana zile.
ile ndizi sikuila maana ilikuwa imeoza niliitupa.... Kama unalima sana zile basi tegemea mwaka huu utakula hasara kubwa sana!!!
Halafu hapo Mabibo mahakama ya ndizi, hilo jina wamelikosea sana bora wangepaita Mabibo Mahakama ya Mkorosho au Mgomba Mahakama ya ndizi bhaasi!!!!
Una akili sana mke wangu.