Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Arushaone, uzuri wake ndio wanafungua shule sasa....! au unahasira pia za jana?
kaka hasira gani tena alikuwanazo shemejio?
Last edited by a moderator:
Arushaone, uzuri wake ndio wanafungua shule sasa....! au unahasira pia za jana?
Nisamehe ni mimi nimembanjua mkuu niko tayari tusuluhishwe na wana mmu wote.
bebii nini tena jamani???? Si nimekuambia nakaribia kurudi sa ndo nini waanza kuchefukwa mapema yote hii..... Mara students, mara watongozaji mara mahakama....... Hebu tema mate nikawachape wavurugaji wotee!!!!!!!!
wavizia wake za watu
wamemchefua bwan shemeji
pacha Lady doctor njoo utuambie
nani anakuvizia tumfanyie ukaguzi ebooo!!
Naona upo kitafsida zaidi ! Naimani mate yazungwamzwayo hapa ni yale mate ya kikubwa (adult saliva) na si hii mimate ya kawaida .
Kwani shule hazijafunguliwa?
Afu hata wakitongoza wanakula kwa macho tu mkeo anakupenda ujue hawezi kukusaliti itakuwa ajabu mke wa rais afumaniwa mmmh hii heading inatishaaa
pacha shemejio anawasiwasi tu jamani, mpaka leo sijarudi home
kaka hasira gani tena alikuwanazo shemejio?
Whaaat ?
Lais anevulugwa? Kwa 7bu gani ? Mi na6 kuludia kusema unachomwambia lais we2 , ww umesubu2je ?
Ngoja Rady dokta akusikie !
Mi namuogopa xasa aisey.
Kwa kudiklea mekupa laha xana ya gafra gafra na uu ni mchana bado ng'ombe ziko marishoni !
Je ikifika ucku laha itakuaje ?
Ata mi naskia laa-mpaa-looni .
Asnt xana
I luv yr language
Ni km uco fm sx vile.
kaka hasira gani tena alikuwanazo shemejio?
Lady doctor anatutongoza laiv laiv..
Sisi ndo tumejitahidi kuw kama #Yusufu ...
Tumeikimbia zinaa na mke wa mtu, hebu we Arusha one tupongeze japo kwa hilo...
Mke mwenza nawe umezidi sasa,kwanini utongozwetongozwe live bila chenga? Unaona sasa shemeji alivokasirika
Haiwezekani nasema tena haiwezekani students waache kusoma waje jf twente foo hawaz na xana zao badala ya sana! Pia haiwezekani na sipendi watu wamtongoze my wife wangu Lady doctor laiv laiv bila chenga!
Haiwezekani mahakama iingilie kesi za chama
Heri yangu mie sijamtongoza mai waifu wako Lady doctor, nilimshika tu mkono akakubali....
Heri yangu mie sijamtongoza mai waifu wako Lady doctor, nilimshika tu mkono akakubali....