KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Jackpiano

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
531
Reaction score
650
Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo njiani lakini bado namuuliza dereva na yeye hana jibu kabisa yaani wakuu je hiyo hali ikiwakuta mnasolve vipi au ndiyo mnalipa ile bill inayosoma ya dereva.
 
Nikweli lakini sasa iyo kabla ya safari anasema tayali kwake imekuja bei tofauti na kwangu asee
Unajua Bolt au Uber za Airport airport zinakuwa na Changes Fulani na sio Kila driver anaweza ku access request za Bolt airport ni kama Kuna designated drivers ndio wako allowable kupokea izo request za Airport na nahisi watakuwa subjected na Charges Fulani extra ndo mana kuna hio variation, Ukiona huelewi basi Andika Email bolt kueleza hio misunderstanding yako Ili upate majibu mazuri
 
Ni kweli maeneo kama Airport huwa na designated drivers na mara nyingine kuna airport surcharge pamoja na surge pricing. Changamoto kubwa naiona kwenye transparency—app haionyeshi breakdown mapema ili mteja ajue ada za ziada kabla ya kudhibitisha safari. Shida ndiyo ina anzia apo
 
Wakuu iyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayo ona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 ivi changamoto iyo mnaichukuliaje apa nipo njiani lakini bado namuulza dereva na yeye hana jibu kabisa yani wakuu je iyo hali ikiwakuta mna solve vipi au ndy mnalipa ile bill inayo soma ya dereva
Kama safari umefika mwisho, app huwa inakuletea bei ya hiyo safari. Hiyo ndio nauli unayotakiwa kulipa. Huyo dereva anakuchezea mchezo hapo, si ajabu ni screenshot ya safari nyingine anataka kukupiga.
 
Bei imekuja ileile yenye utata
 
Ila hawa madereva nao wana michezo wanafanya sio siri,na hii nishawahi kusikia huko nyuma

Juzi kati nimechukua boda from mikocheni to maeneo ya ikulu ikasoma 3,000 na hakukuwa na shida

Kutoka town kurudi nikachukua Bajaji bei halisi ni 4,000

Pale pale driver ananionyesha kwake inasoma 5,500 hapo safari hatujaanza,lkn wkt huo akaniomba simu yangu kubadilisha reguest,kwakuwa nilikuwa na mambo yangu kwa head sikujali sana

Kiufupi bei ya app ya mtoa huduma na mteja inatakiwa iwe sawa hata kama kutakuwa na nyongeza kutokana na foleni
 
Lipa bei inayoonekana kwako, wewe simu yake inakuhusu nini?
 
Ni kweli maeneo kama Airport huwa na designated drivers na mara nyingine kuna airport surcharge pamoja na surge pricing. Changamoto kubwa naiona kwenye transparency—app haionyeshi breakdown mapema ili mteja ajue ada za ziada kabla ya kudhibitisha safari. Shida ndiyo ina anzia apo
Mtaalam waandikie Bolt hii issue kwa email zao wako very active wata respond Ili hio matter wai take into account wafanyapo Updates zijazo
 
Back
Top Bottom