Nimebakwa na wanawake watatu

Hivi mtu akizima jogoo hawezi kuamka, never thought about it. Mbona ukilala usingizi ukishtuka usiku wa manane kitu kipo 'stand up'?
Sio usiku tu hata ukilala mchana ukishtuka unakuta kitu kimesimama
 
Mwanaume habakwi wewe,.....tengua kauli haraka.
 
Hivi mtu akizima jogoo hawezi kuamka, never thought about it. Mbona ukilala usingizi ukishtuka usiku wa manane kitu kipo 'stand up'?
Huwa ni kwa sababu ya mkojo ndo maana inakuwa hivyo..ila tofauti na hapo hakuna kitu.
 
Sio usiku tu hata ukilala mchana ukishtuka unakuta kitu kimesimama
Yeah, sasa mbona watu wanamuandama mleta mada kuwa hawezi kusimamisha wakati yupo unconscious?

Naamini mtu anaweza kusimamisha while asleep/unconscious na akamwaga wazungu bila kujua. After all, erection is just the flow of blood into the penis na sio kila mara inakuwa controlled na ubongo.
 
Yap umeongea ukweli, labda mapigo ya moyo yasimame
 
Nipe ushawishi wa kisayansi angalau nitakuelewa.

Ukipiga bao la ndoto nyevu unakuwa conscious au unconscious??
Unakuwa conscious maana unakuwa unafanya vitu halisi japo ni katika indirect way..
 
Usifanye hvo wewe sio mwanamke,chamsingi subiri miezi 3 kapime HIV,ukiwa hauna potezea......kumbuka wanaume tunajukumu la kuwatomb* wanawake kwa muda wowote watakao hitaji,sasa ukiwaadhibu sio fear,utakuwa umetudhalilisha wanaume
 
Nipe ushawishi wa kisayansi angalau nitakuelewa.

Ukipiga bao la ndoto nyevu unakuwa conscious au unconscious??
Mfano unapokuwa ukiota unakojoa...lazima uote umefanya kitendo cha kukojoa ndipo ukojoe kweli..
 
Huu ni uongo ufananao na ukweli. Haiwezekani uwekewe kitu kwenye juice unywe, uishiwe nguvu ulale na jogoo awike bila hisia zako za akili na mwili halafu ubakwe bila kujijua na kuja kuamka uko hoi !! "Terrible"
Kama angekuwa mwanamke ingekuwa kweli, lakini mwanaume anawezaje kufanya tendo la ndoa akiwa amelala, hisia zitatoka wapi ili kitu isimame !!
 
Mh! hizi story za wavulana ni shidaaaaaa.....Labda nikuulize swali moja tu, wewe ulibakwa au ulitumika?
 
Itakuwa na wewe ulipenda,mimi huwa naamin mwanaume hawez bakwa na mwanamke,kama hupendi mashine itasimama vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…