Nimebakwa na wanawake watatu

Huu ni uongo ufananao na ukweli. Haiwezekani uwekewe kitu kwenye juice unywe, uishiwe nguvu ulale na jogoo awike bila hisia zako za akili na mwili halafu ubakwe bila kujijua na kuja kuamka uko hoi !! "Terrible"
Labda tgoh tuta juaje
 
Hii inaweza kumtokezea mwanamme yeyote na ilishawatokea wengi. Ni udhalilishaji wa hali ya juu. Wanaume pia wanabakwa sio wanawake tu.
 
I guess mtoa mada ni Mwanamke,
Ndomana Haelewi kama Mwanaume akizima basi na jogoo hafanyi kazi,

NIMEWAZA TU LAKINI
 
yaa
ni ningekua mimi wala singepanic...ningewaambia wasiogoge waje wakalie dyudyu mmojammoja kwa zamu ,,,hahaaa,,,raha sana,,,mwanaume habakwi ila anategwa
 
Aiseee!!!!,wewe ndo kidume wa mtaa hadi ubakwe na wanawake 3?? Hilo dudu lilisimama vipi huku huna fahamu??? Ngumu kumesa hii...
Km aliwekewa viagra na dawa ya usingizi je?? Hawezi kula mizigo??
 
Sasa mtu ulizima, umejuaje kwamba uligegedwa na wote watatu?!
 
Unauchungu nao sasa c ukazae nao[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
zali la mentali limetokea wakat mm nnanjaa nikapendwa na dem kali......
 
Acha kuzuga. Mtalimbo ulinyookaje ukiwa chakari wa cocaine?
 
Mashine yako balAaaaa mkuu ikiona papuchi tuu hata ukiwa We UmelAla yenyewe inaamka, hiyo itakuwa special one
 
uongo uo,kama unekufa na mashine inakufa imekuwaje?kwanza ushakufa ma ngoma wewe,kapime nyambafu toa story za point na za uakika sio pumba kama izo
 
Huu ni uongo ufananao na ukweli. Haiwezekani uwekewe kitu kwenye juice unywe, uishiwe nguvu ulale na jogoo awike bila hisia zako za akili na mwili halafu ubakwe bila kujijua na kuja kuamka uko hoi !! "Terrible"
Usikute wao wakitaka tu kuchezea dushelele
 

Mi nilidhani wamekubaka kwa doldos [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…