Nimebakiza mafanikio katika mapenzi

Nimebakiza mafanikio katika mapenzi

Watanzania weng huwa tunaona n jambo la kawaida kutangaza umaskini, lakin mtu anaposema Hana dhiki watu humdefine negatively...;

Nilichosema mm n kwamba nimefanikiwa kiuchumi, sasa Kuna watu wanatokwa povu sasa mlitaka nisemeje,Halafu sijasema kuwa ninapesa nyiiingi.., Na wala mm sio bahili Kama wengine mnavyodhani

Na niukweli usiopingika kuwa Kuna girls wapenda pesa Tu, kwenye shida huwaoni
 
Hiyo mentality ndio huwa inawafanya msipate mapenzi ya dhati, na kwahiyo unasafari ndefu ktk kuyapata hayo mafanikio ya kimapenzi.
Open your mind, nahis unajaribu kukwepesha ukweli
 
Kwa utafutaji huu utapigwa hela hadi ukome tena ushasema unafanya biashara ndani na nje ya nchi? haaaaaahaaaaaaaa huwajui vzr wana njaa balaa utapetiwapetiwa hadi uone hiki nn!
Hahahaha mkuu am not stupid
 
Kwa utaratibu wako huo una safari ndefu mkuu, maana moyo mwenzio ni kichaka.
All the best.
Hahahaha hiyo avatar yako..!

Kwan shida n kusema Nina mafanikio au n kwamba hakuna mapenz ya dhati?
 
Mkuu!!! Njia ulokuja nayo kama kweli una hayo mafanikio na unatafuta mapenzi ya dhati basi umekosea... Hapa utapata mara 110 ya hao wawili uliowaacha...
Ila kama ni njia ya kukamata ndege basi hongera!!! Wamekamatika kweli...
 
kale ka msemo kuwa "tafta mtu mnayeendana afu ndo mpange namna ya kutafta maisha" mda mwingine huwa nakaona kana mana.
 
Back
Top Bottom