xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,132
- 7,362
Howmoney is everything my dear
Howmoney is everything my dear
Hahahahangoja kwanza nikuchane halafu nikupe baraka..
wanaume wengi wenye pesa mna kasumba kuwa mnapendewa pesa sasa mkuu baada ya kukupenda wewe unategemea upendo wangu kwako nisiufaidi... pesa unazo unataka utumie na nani kama si mpenzi wako?
acha uchoyo tumia pesa ikuzoeee
all the best
Unafail brooLabda nikusaidie usichojua,,we umefanikiwa kuweka mikondo ya kupata pesa ila hujafanikiwa maisha,,,unaweza kua na hela nyingiiii lakin usiwe na mafanikio,na moja ya mafanikio ni kua na vingi visivyonunuliwa kwa pesa,,hapo ndio umefeli,,na umefeli moja kwa moja mpka kuja kuomba ushauri jf umefeli sana... Jitahidi zaid ufanikiwe maisha sio uwe unapata pesa tu
Hahahaha wabong bhnWalahi huyu jamaa wala hana hela kihivyo kama anavyodai ila anataka kutumia ujanja wa mafanikio ya fedha kuwakamata wale mademu ambao ni maboya!...........believe me!!
Hahahaha mashaka gan mkuuUmefanikiwaje kibiashara ndani na nje ya nchi ukashindwa jamvo hilo la kumpata mwenza unaeweza kuonana nae na kujua mapema tu kwamba anakupenda au la! Huku kwenye mtandao ndio umeona kimbilio? Wamejaa sana watafuta fursa huku. Chukua tahadhari.
Ila nna mashaka na ufanikiwaji wa biashara yako kwa mwendo huu.
Kawaita mwenyeeeeeeewe!Sasa mtoa mada mwenye anajivunia kuwa na pesa hlf anataka mwanamke asiye na pesa si ujinga huo..we ungesema vigezo vyako vingine hlf kwenye kugezo cha kazi ungesema mfanyabiashara...ngoja waje Pm wapenda pesa maana ndo uliowaita
Haaah muacheeee banaaaKwa utafutaji huu utapigwa hela hadi ukome tena ushasema unafanya biashara ndani na nje ya nchi? haaaaaahaaaaaaaa huwajui vzr wana njaa balaa utapetiwapetiwa hadi uone hiki nn!
Hahah ndo unamshushua mwenzakoo sasa jamaniingoja kwanza nikuchane halafu nikupe baraka..
wanaume wengi wenye pesa mna kasumba kuwa mnapendewa pesa sasa mkuu baada ya kukupenda wewe unategemea upendo wangu kwako nisiufaidi... pesa unazo unataka utumie na nani kama si mpenzi wako?
acha uchoyo tumia pesa ikuzoeee
all the best
Umeona eehMapenzi ni kama bahati nasibu
ndiyoHahah ndo unamshushua mwenzakoo sasa jamanii
Nenda kujijini usijionyeshe una Vincent vya kubadilishia mboga utapata mrembo umtakaeHabari wakuu,
Mimi ni kijana kimri, nimebahatika kupata mafanikio ya kimaisha katika umri huu, ninafanya biashara ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Nje ya mafanikio ya kifedha nina ndoto ya kupata mwenzi atakaye kuwa taa katika mafanikio yangu, mwenye mapenzi ya dhati na sio mapenzi ya pesa zangu.
Nimewahi kuwa na wapenzi zaidi ya wawili, wote niliachana nao baada ya kugundua kuwa hawakuwa na mimi kwa kunipenda mimi bali pesa.
Namtafuta atakayenipenda kweli niendeshe naye maisha asizidi 25 years.
Asanteni!