Nimebaini: Picha ya Askari anaevushwa ni photoshop!

Nimebaini: Picha ya Askari anaevushwa ni photoshop!

Askari bwana! Mbona hii iliyoonyesha ushujaa wa kumficha kwapani kwa style ya kikomandoo DC Makonda hamjasema Photoshop? Au kwa vile ni ya kishujaa kuokoa maisha ya Makonda hivyo ni fahari kuliko kubebwa?
 

Attachments

  • 1431093038860.jpg
    1431093038860.jpg
    44 KB · Views: 525
Kwanza ukiiangalia ile picha utagundua kuna vitu vi5 haviko sawa..

1.) Sehemu ya nyuma ya yule askari imekuzwa disproportionately.

2.) Miguu haiko proportional with the rest of the body, ni vifupi mno!

3.) Kivuli cha askari aliebebwa haki-concide na vivuli vingine ndani ya picha

4.) ....

5.) ......

attachment.php

Unaishi kotaz za polisi??
 
photoshop unaijua? hyo pic n real bhana uliza uelekezwe jins ya kujua edited pic
 
Mimi nimesoma grafics,pamoja na hayo nimekuwa mchoraji kwa muda mrefu....hapo hakuna photoshop ni picha halisi na haijafanyiwa usanii wa aina yoyote
 
Anachojua yeye askali hawezi kubebwa.

#FRANCIS DA DON huyo aliyebebwa ni binadamu sawa na wengine, tofauti ni hivo uniform ndizo zinatofautisha.

1.Angalia kivuli cha yule aliyembeba mwanafunzi kipo mbele yake, iwaje kivuri cha huyo askari kiwe mbele?
2.Makalio kuwa makubwa, tambua askali wetu wengi wemelidhika na mshahara pia kazi ni chache hivo wananenepeana na kupata vitambi, that's so y unaona makalio yapo kwa nyuma.

Hahahahaaaaa
 
Mbona TBC walionyesha askari akiwa kabebwa wewe uliyeleta picha usikute na wewe ni polisi.

Achana nae huyo, sababu zake hata mtoto wa std 1 hawezi kuamini kama hiyo picha sio ya kweli.
 
Anachojua yeye askali hawezi kubebwa.

#FRANCIS DA DON huyo aliyebebwa ni binadamu sawa na wengine, tofauti ni hivo uniform ndizo zinatofautisha.

1.Angalia kivuli cha yule aliyembeba mwanafunzi kipo mbele yake, iwaje kivuri cha huyo askari kiwe mbele?
2.Makalio kuwa makubwa, tambua askali wetu wengi wemelidhika na mshahara pia kazi ni chache hivo wananenepeana na kupata vitambi, that's so y unaona makalio yapo kwa nyuma.

Huyo jamaa aliyembeba mwanafunzi anakivuli mbele na nyuma kidogo,na huyu aliyembeba askari anakivuli mbele kidogo na nyuma lazima atakuwanacho kikubwa ingawa hakionekani...kumbuka hakuna mwanga mkali wa jua kutoka one direction kutokana na hali ya hewa ya mvua na mawingu
 
Kwanza ukiiangalia ile picha utagundua kuna vitu vi5 haviko sawa..

1.) Sehemu ya nyuma ya yule askari imekuzwa disproportionately.

2.) Miguu haiko proportional with the rest of the body, ni vifupi mno!

3.) Kivuli cha askari aliebebwa haki-concide na vivuli vingine ndani ya picha

4.) ....

5.) ......

attachment.php

Umekosa Kazi mfyuy
 
We bazazi kabisa, kuparamia migongo ya wanaume wenzio unakosa utetezi. Na hawa ni nini photo soko au photo genge?
 

Attachments

  • 1431096854533.jpg
    1431096854533.jpg
    45.8 KB · Views: 313
Na hizi je, ni photoshop?
 

Attachments

  • 1431097024321.jpg
    1431097024321.jpg
    32 KB · Views: 280
  • 1431097078945.jpg
    1431097078945.jpg
    7.3 KB · Views: 413
Kwanza ukiiangalia ile picha utagundua kuna vitu vi5 haviko sawa..

1.) Sehemu ya nyuma ya yule askari imekuzwa disproportionately.

2.) Miguu haiko proportional with the rest of the body, ni vifupi mno!

3.) Kivuli cha askari aliebebwa haki-concide na vivuli vingine ndani ya picha

4.) ....

5.) ......

attachment.php



Mimi ninachoweza kusema baada ya kuangalia picha nyingine za matukio ya mvua na yale ya ubungo kwenye mgomo wa madereva nimegundua kuwa huyo askari sio wa Jeshi la polisi Tanzania.

Sababu kubwa ni kuwa:
Mkanda aliouvaa kiunoni sio mkanda wa polisi ukilinganisha na picha nyingine.
Mkanda aliovaa una mstari mmoja wa rangi ya NJANO katikati.
Tofauti na mikanda ya polisi inavyoonekana kwenye picha hizo nyingine ambazo katikati kuna rangi NYEUSI iliyozungukwa na mistari miwili ya Njano ambayo ni myembaba.

Hiyo picha bila shaka ilipigwa kwenye nchi moja na wakati mmoja na ile picha ya mwanajeshi aliyebebwa akiwa amebeba bunduki mgongoni.
 

Attachments

  • 1431097669303.jpg
    1431097669303.jpg
    66.5 KB · Views: 1,303
Mie najiuliza tu kuhusu sare za hao wanafunzi haziendani kabisa. Msichana blue white Mvulana khaki white!! ebu niambieni ni wanafunzi wa mkoa gani wanavaa hivi hapa Nchini? make kawaidia enzi zile tunasoma sisi Mkoa wa Mwanza tulizoea kuvaa juu white na chini wavulana khaki wasichana green while mikoa mingine ilivaa juu white chini blue wote. Sijajua sare za watoto siku hizi zikoje kulingana na ukanda. Doubt yangu pengine hii picha sio Tz.
 
Back
Top Bottom