Nimebaini: Picha ya Askari anaevushwa ni photoshop!

Nimebaini: Picha ya Askari anaevushwa ni photoshop!

You can change the fream but the pic remain the same.!
 
Anachojua yeye askali hawezi kubebwa.

#FRANCIS DA DON huyo aliyebebwa ni binadamu sawa na wengine, tofauti ni hivo uniform ndizo zinatofautisha.

1.Angalia kivuli cha yule aliyembeba mwanafunzi kipo mbele yake, iwaje kivuri cha huyo askari kiwe mbele?
2.Makalio kuwa makubwa, tambua askali wetu wengi wemelidhika na mshahara pia kazi ni chache hivo wananenepeana na kupata vitambi, that's so y unaona makalio yapo kwa nyuma.
 
hata ujitetee vipi tumekwishakujua zuzu wewe,uliingia jeshi la Polisi kwa kubebwa bebwa na huu ndio mtindo wako wa kufanya kazi.Hakika tukikujua tutakushughulikia maana haiwezekani ule pesa zetu za kodi bure balazuri mkubwa we!
 
Afande naona umerudi kujitetea banaaaaaa.....Sasa vivuli viko wapi hapo????????? Na hiyo miguu ufupi wake ni upi?????
 
hizo ni taarfa za kiintelegensia kama kawaida yao, kamishna kaamua kutetea vijana waje
 
photo shop gani hiyo askali kajimanua kabisa mgongoni kwa raia eti photoshop khaa!

kajimanua manuuu eti aogopa mafuriko yatamfurika
 
Back
Top Bottom