Nimebadilisha avatar yangu!

Nimebadilisha avatar yangu!

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Nimeweka hii hapa now.
aviator.jpg
 
Sioni cha ajabu hapo!! Avatar ni yako sisi inatuhusu nini!!
 
Hicho kivuli chaTaswira........si kizuri kuonekana waz waz.........nakushauri uitoe,,,,,
 
Unatutisha bwana

Swali hawa masista si mabikira wamejuaje kama ndio yenyewe...
 
Siledi zingine bhana najikuta nimeingia tu. Masister wanapiga hesabu ya kurudi jamani huku wamejawa na uoga kumbe ni kichwa cha mtu bhabha, sasa huyu ndugu namshauri anunue kofia na sanduku lenye matairi halafu asifunge scarf
 
Morphology yake na mizigo imemlet dawn
 
Unatutisha bwana

Swali hawa masista si mabikira wamejuaje kama ndio yenyewe...

Madam hii ni kivuli tu. So isikutishe sana, na wala usiwaze sana nanihii.
 
Hicho kivuli chaTaswira........si kizuri kuonekana waz waz.........nakushauri uitoe,,,,,

Jamani, hicho ni kivuli tu. Usitafsiri kivuli kwan hata wewe kuna dizaini ukisimama tukachora kivuli chako, tutatoa vitu vya ajabu sometimes, hata K in worst case scenarios
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom