The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,079
Unatakiwa tu kutokukariri maisha kama nungunungu.Form 5 zinaanza lini ???? Enzi zetu form 5 ilikua march hii ya kuwapeleka watoto hadi mwezi wa 7 ni majanga huku mtaani
Wenzako hao mkuu.Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!
Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???
wewe ni munene?Wenzako hao mkuu.
Boooonge la mamawewe ni munene?
Daah!!..... Kamatch kaurafiki ni katamu jamani, hasa ukiwa na rafiki yako unaempenda kwa dhati kama mimi ninavyompenda kwa dhati rafiki yangu mpendwa tattyBoooonge la mama
Siku yangu imeanza vizuri kwa maneno yako. Thank youDaah!!..... Kamatch kaurafiki ni katamu jamani, hasa ukiwa na rafiki yako unaempenda kwa dhati kama mimi ninavyompenda kwa dhati rafiki yangu mpendwa tatty
Tena anashukuru(alhamdurilah)kwa uvumbuzi wake huo wa wanawake wanene kiukweli wachujaji wa mada walitizame hili maana mwisho wa siku unakuta sisi wanamume tuna jikita penye mada za kuponda jinsia nyingine nao pia wanatuponda hii jamiiforums.com itasimama na kuendelea vipi?Hivi kweli wajameni JF imefikia hatua ya kudharaulika kiasi hiki mpaka mtu ana post utumbo huu kweli....
Hivi kweli JF tumekuwa watu wa kujadili NGONO kama vile tupo vijiwe vya wavuta bangi badala ya kushauriana masuala ya kuimarisha ndoa....!!!
Nini kimeikumba JF ya sasa...??? Au imebinafsishwa na makampuni yanayozalisha filamu za ngono...???
Hivi kweli jamani post kama hii ndio mtu anaumiza kichwa kuiweka na wengine wanachukua muda wao kuijadili.....???
Jf imejikwaa wapi...???
Loooooooh!! Thank you my best friend! Keep smiling, keep shiningSiku yangu imeanza vizuri kwa maneno yako. Thank you
Dionne warwick..... i love that song.Loooooooh!! Thank you my best friend! Keep smiling, keep shining
knowing you can always count on me, for sure. That's what friends are for, for good times and bad times. I'll be on your side forever and more, that's what friends are for!