Stephano Shahidi
Member
- May 28, 2023
- 61
- 79
So you mean men do not conform with the principles of women?The problems with men nowadays is, conformity..... E. Nightngare
Jina la mke halipaswi kuleta shida katika ndoa. Badala yake, zingatia utu wake, tabia na malengo yake.je nikitafuta wa jina kama la mkewngu itanipa shida? Kwani mkewngu anaitwa Elizabeth basi mm hukumbuka sana mtakatifu Elizabeth alienda kumsalimu bikira maria kipindi yu mjamzito hadi kitoto kilichoko tumboni kikacheza nami nilikuwa najisikia nimeoa mtu mwenye jina la utakatifu huo
Ni kawaida kukumbuka mambo ya zamani, lakini usiruhusu kumbukumbu zikuzuie kuwa na furaha na mke wako mpya. Zingatia kuwa unampenda na unamthamini.Je nikiwa na wanangu na mke mpya sitakumbuka kumbuka mambo ya mkewangu Elizabeth?
Habarini,
Nilikuwa na mke tulipendana sana kwa muda wa miaka 9 mwanamke alibadilika na kuondokaalinichenga sana alipo mpak Sasa ni miezi 6 hataki kuwasiliana nami ameamua kudanga swali na ushauri nataka nimtafute mchumba mpya nioe je nikitafuta wa jina kama la mkewngu itanipa shida? Kwani mkewngu anaitwa Elizabeth basi mm hukumbuka sana mtakatifu Elizabeth alienda kumsalimu bikira maria kipindi yu mjamzito hadi kitoto kilichoko tumboni kikacheza nami nilikuwa najisikia nimeoa mtu mwenye jina la utakatifu huo
Je nikiwa na wanangu na mke mpya sitakumbuka kumbuka mambo ya mkewangu Elizabeth? Naombeni msaada kwa wazoefu waliopitia changamoto kama hii
[emoji38][emoji38]Anza kunywa pombe!