Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

Siamini km kuna 42 y/o hajaoa. Kama kweli basi wanaoshauri ukaoe mke wa mtu hawajakosea. Wanawake wa umri kati ya 25 na kuendelea wengi wana wachumba, walishaolewa, wengine wameshaseparate, wengine wameshazichoka ndoa zao wapo walea watoto tu na wengine wameshaachana na ndoa kwa talaka etc. Ukitaka kuoa under 25 ujiandae kisaikolojia.

Kifupi huu ni wakati wake mleta mada kuamua kuoa na kuwa tayari kwa lolote au kutooa kabisa.
 
Utaliwa tu...Either mkeo au wewe mwenyewe kiboga siku watakulia timing wakulambe.

cha kushangaza.... Ww mwizi, unaogopaje kuibiwa? kuwa mwanaume bwana ... Oa na wewe uliwe maisha yako yaendelee
 
Wadau,

Mimi ni mwanaume wa miaka 42 sasa. Tatizo langu kubwa kiukweli ni kushindwa kuoa. Kila ninapowaza kuoa naghairi sababu kila nikiwaza nilivyokuwa natembea na wake za watu naona nami itatokea kwangu hivyo hivyo.

Nimetembea sana na wake za watu. Nikikutana nao Facebook, na Instagram. Huwa tunachat baadaye tunakuwa marafiki na kuishia wapenzi.

Ni rahisi sana nadhani wengine wakiniona nilivyo n.k wanavutiwa na kujikuta wanajirahisi tu. Sasa kila ninapokuwa na mwanamke nataka kumuoa nikiwaza kuwa nimetembea na wake za watu zaidi ya 20 kirahisi sana na wengine wanadai walipata mimba kwangu. Nawaza na mke wangu watu watamkamua tu.

Najikuta naghairi na miaka inaenda sana. Nina mtoto mmoja wa nje. Natamani ningekuwa na wife lakini jambo hili huwa linanivunja moyo sana.

Nyie wenzangu mliooa mnaishi vipi na wake zenu hata kama huku nje wanaliwa?
Hiyo ishakuwa ni roho tayari! It has to be dealt with spiritually!
 
We jamaa kwa fiksi... Kwenye story uliyoandika april 27 ya kumpa lift shetani ulimalizia kwa kusema kuwa "Nampenda mke wangu" leo unabwabwaja kuwa huwezi kuoa
Wadau,

Mimi ni mwanaume wa miaka 42 sasa. Tatizo langu kubwa kiukweli ni kushindwa kuoa. Kila ninapowaza kuoa naghairi sababu kila nikiwaza nilivyokuwa natembea na wake za watu naona nami itatokea kwangu hivyo hivyo.

Nimetembea sana na wake za watu. Nikikutana nao Facebook, na Instagram. Huwa tunachat baadaye tunakuwa marafiki na kuishia wapenzi.

Ni rahisi sana nadhani wengine wakiniona nilivyo n.k wanavutiwa na kujikuta wanajirahisi tu. Sasa kila ninapokuwa na mwanamke nataka kumuoa nikiwaza kuwa nimetembea na wake za watu zaidi ya 20 kirahisi sana na wengine wanadai walipata mimba kwangu. Nawaza na mke wangu watu watamkamua tu.

Najikuta naghairi na miaka inaenda sana. Nina mtoto mmoja wa nje. Natamani ningekuwa na wife lakini jambo hili huwa linanivunja moyo sana.

Nyie wenzangu mliooa mnaishi vipi na wake zenu hata kama huku nje wanaliwa?
 
Sijui imani yako ni ipi, lakini kinachokutokea ni kwamba upo spiritually connected na hao ma'ex wako ambao ni wake za watu ambao ulizini nao, kiasi kwamba you cannot move forward kwasababu bado still una attachment nao spiritually,,, what you need to do find the best way according to your faith ya kuondoa hizi spirits za ex zako ambazo bado zinakuhold usiweze kuwa na mwanamke mmoja na kuoa. Pia you need psychological counseling especially kwenye mambo ya mahusiano na jinsi ya kuhandle emotions zako ili uweze kurefresh the way you feel and think pindi ukipata mwanamke wa kuja kuoa!

*SORRY Nimechanganya lugha lkn nadhani utakua umenielewa!!*
 
Kidhungu wanasema "its pay back time beibe"... dawa ni moja tu hapo, kutubu hiyo dhambi kwa nia ya dhati
 
Back
Top Bottom