nimeanza weekend kwa MAMA KAMCHE...karibuni wana JF

mm sio mlevi...nakunywa tu!
Hata hivyo najua uko na Kongosho na Nitonye ndo wamekutoa Out Hahahahaa wakiitwa na wake zao ndo na wewe mwisho wako wa kunywa
 
leo sijui kama SL atanifungulia mlango kama vipi nitalala huku huku
 
afu mdudu sio mzuri kila siku
analeta kitambi ambacho utakosa mke
kitambi kinatokeza chini ya manyonyo afu sehemu za kitovu tumbo dogooo

afu mikono na miguu myembamba kama mpini wa jembe!

una mpango gani na mbavu zangu?
 
Dogo una Tembo card master Card nikuletee mshirika hapo?

sema tu unataka kumwunganishia mtoto. ila kama ndo kaifadhiwa na kongosho na nitonye , itakuwa kazi!
 
Mbona unamrusha roho ricky jamani..

Jamani bby wananitesa hawa Bagah na Nitonye....tena wananinyanyasa sana tangu mchana.
Nilikumisssssssss
Haya Nitty Sema sasa....huyoooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…