Kila kitu kina taratibu zake
mfano.
Pombe kali ukinywa bila kula utakufa
na Bange
ina taratibu zake
1.kuamka alfajiri na kusali kabla ya watu wengine wa eneo lako kuamka.
2.mazoezi
3.kula mboga za majani kwa wingi
4.matunda
5.kunywa maji mengi sana
6.kutuliza akili na kusoma sana hasa maandiko ya amani.
(muelekeze nduguyo atapona)
Ukivuta bangi unakuwa na peace of mind Hewa na high hopes hewa! Inakutoa kwenye reality ya maisha na kukuingiza kwenye ulimwengu wa ndoto za maisha hewa zisizokuwepo! ukivuta waweza kuhisi na kujiona uko Ugiriki wakati umekaa kwenye dimbi la maji ya mvua kubwa iliyonyesha buguruni kwa kibengele.
Marijuana, ganja, bangi, cannabis, stick, high, grass, enjagga, is AN ADDICTIVE SUBSTANCE.
lipuka mkuu, lipukaaaa....!:majani7::majani7::majani7:
La marihuana te purifica el alma y el corazon te aleja de babilonia....BURNDOWN BABILON!Da nimependa sana na hao katuni sijui baker hao
La marihuana te purifica el alma y el corazon te aleja de babilonia....BURNDOWN BABILON!
More love I
Mkuuu vipi tena???
Thanks a lot
Rene Jr.
- You really know what I like
:majani7:
- Jah bless
Ukivuta bangi unakuwa na peace of mind Hewa na high hopes hewa! Inakutoa kwenye reality ya maisha na kukuingiza kwenye ulimwengu wa ndoto za maisha hewa zisizokuwepo! ukivuta waweza kuhisi na kujiona uko Ugiriki wakati umekaa kwenye dimbi la maji ya mvua kubwa iliyonyesha buguruni kwa kibengele.
Amani mkuu wangu, vipi?:confused2:
Sawa mkuuu, lugha hiyo sijui nini??
Usiogope Mkuu wangu, hicho ni Kispanish tu![/QUOTE
Ohhh! k! "Marijuana purifies your soul and the heart takes you away from Babylon .... Burndown BABILON!
More love"
Usiogope Mkuu wangu, hicho ni Kispanish tu![/QUOTE
Ohhh! k! "Marijuana purifies your soul and the heart takes you away from Babylon .... Burndown BABILON!
More love"
Just one perfect love ay!