Nimeanza tena kuvuta bangi

...atakuwa mwana ccm huyu ana presha za uchaguzi...
 
ni vizuri ukaanza kutumia petroli maana imepungua bei!
bange inafaa sana hasa unapovutia chooni ukiwa uchi!
 
Kila kitu kina taratibu zake
mfano.
Pombe kali ukinywa bila kula utakufa
na Bange
ina taratibu zake
1.kuamka alfajiri na kusali kabla ya watu wengine wa eneo lako kuamka.
2.mazoezi
3.kula mboga za majani kwa wingi
4.matunda
5.kunywa maji mengi sana
6.kutuliza akili na kusoma sana hasa maandiko ya amani.
(muelekeze nduguyo atapona)
 
dah huu uzi umenikuta mahala pake.. nko hapa big brother kwa father Joker nakula kitu. jah never die if die never decay if decay will perfume.... hapo ofini secretari ashapiga simu saaaana naichek tu.. Tukishika dola tunahalalisha
 
Unabembea tu chumba kimoko unakiita ikulu. Mamamkwe unamwita demu wako eti?
 
Marijuana, ganja, bangi, cannabis, stick, high, grass, enjagga, is AN ADDICTIVE SUBSTANCE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…