Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,088
- 2,705
- Thread starter
- #61
Huna hata ka vitz alaf unawaza gari la 23m..
Kumbuka hata ukitaka demu mkali lazima uanze na wabovu
Daah
Huna hata ka vitz alaf unawaza gari la 23m..
Kumbuka hata ukitaka demu mkali lazima uanze na wabovu
Tatizo watu wanaanza tu na kukukatisha tamaa. Hao ndio watu hawajui uwezo wa mtoa mada, pengine anauwezo wa kuweka laki kila siku,lakini wamekimbilia kwamba haiwezekani. Mkuu inawezekana hata ikikuchukua miaka kumi,ujue tu inawezekana,we focus tu.
Kweli! adundulize tu bila kukata tamaa pengine anaweza kumiliki gari la ndoto yake likiwa na thamani ya million 8 au 9.Yaan iko kama itachikua miaka 10 kukamilisha hiyo budget ya gari na kuhakikishia utakuta na gari yenyewe imeshashuka bei sio 26-28 M. Kwasababu pia kuna new model zake zinakuja kwa kasi sasa hivi.