Nimeanza na kudeposit 100,000, nataka ninunue gari

Top TZ

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
341
500
Tatizo watu wanaanza tu na kukukatisha tamaa. Hao ndio watu hawajui uwezo wa mtoa mada, pengine anauwezo wa kuweka laki kila siku,lakini wamekimbilia kwamba haiwezekani. Mkuu inawezekana hata ikikuchukua miaka kumi,ujue tu inawezekana,we focus tu.

Kweli mkuu
 

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
584
1,000
Si kwa ubaya ila kama gari hiyo haitakua inakuzalishia pesa zaidi baada ya kuinunua nakushauri achana na huo mpango kabisa. unajichimbia shimo lako la kiuchumi na hutoweza kutoka huko. Bora mara 10 ununua mashamba yanauzwa kiwangwa au Dodoma ila kwa gari unatokomea ndugu yangu. Ova
 

Undetectable

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
944
1,000
Yaan iko kama itachikua miaka 10 kukamilisha hiyo budget ya gari na kuhakikishia utakuta na gari yenyewe imeshashuka bei sio 26-28 M. Kwasababu pia kuna new model zake zinakuja kwa kasi sasa hivi.
Kweli! adundulize tu bila kukata tamaa pengine anaweza kumiliki gari la ndoto yake likiwa na thamani ya million 8 au 9.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom