Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Yaani Milioni na Laki 5 gari ?Vipo vizuri mkuu ,jilipue utoe gundu ,wengi wenye mpunga wa mawazo halafu wanataka gari basi kimbilio lo ni vicorola used vya miaka ya 80 namba AAA.....Bei zake simple tu unaweza kupata hadi kwa 1.5m