Nimeanza kuwa na wasiwasi na usalama wa ndege zetu zitakapoanza safari za nje

Mkuu tuna wakati mgumu sana kwenye siasa na mahusiano ya kidiplomasia kimataifa. Lakini hii hali inakolezwa na viongozi wetu wanaojiongelea tuu linalowaingia kichwani! Mpaka leo naamini 70% ya hizi Changamoto tumejitafutia wenyewe....

Hivi kulikuwa na ulazima gani wa Makonda kuutangazia ulimwengu kwamba anataka list ya mashoga wote? (hii inatofauti gani na Hitler alipokuwa anawinda wayahudi?-ni mfano extreme Lakini ndicho MAKONDA ALIWAONYESHA walimwengu kwa tamko lake. Waliosoma historia wanaelewa namaanaisha nini. Yes sera ya taifa haitambui ushoga. Lakini je tuwadhuru au kuwaua?? Ni swali letu sote.

Hivi kulikuwa na umuhimu gani kupambana na Lissu mpaka akapigwa marisasi kama gaidi..simply kwa sababu hakubaliani na sera za viongozi wetu na CCM? Yeye kama mwanasiasa tena mbunge ni haki yake! Tutake tusitake. Ndo kazi inayomlipa Lissu mshahara-Kuipinga serikali. I know Lissu "anauzi kweli kweli....." Lakini ukomavu wa kisiasa ni kuvumiliana.

Hizi kesi za kitoto kila siku kusweka wapinzani ndani...zina umuhimu gani? To be honest ni kesi za kijinga (sorry kuziita hivyo). Lakini impact yake ni kubwa....ni vitu vya kijinga kama hivi vinamfanya Raisi wetu aonekane dictator! Wakati anapambania maslahi mapana ya waTanzania..... Imagine...taifa linaonekana la watu wasiojali utu simply because umeamua kumkomoa Lema au Mbowe kumuweka gerezani kwa wiki mbili au tatu! Again, sisemi Lema au mpinzani mwingine asiswekwe ndani....kama kafanya kosa. La hasha..Lakini Tukatae tukubali..wapinzani KAMWE hawatasema kile watawala wanataka kukisikia! Never!

Hivi kulikuwa na umuhimu wa nini Jiwe kuutangazia ulimwengu kwamba wasichana waliojifungua hawaruhusiwi kurudi shule?? Hii sera ilikuwepo miaka na miaka..Lakini viongozi huko nyuma walii-manage vizuri......tujifunze kula na vipofu. siyo kila kitu kinafaa kuutangazia ulimwengu.

Mwisho wa siku, nasema inawezekana kuna wale wanaoamini kwamba Rais wetu anaweza akatawala kama Kagame kuhakikisha hakuna upinzani. Kitu watu wenye mawazo kama haya wanachosahau, Rwanda ni nchi ndogo sana kwenye Ramani ya dunia. It is inconsequential! NA LAZIMA MSOME Rwanda IMETOKA WAPI!!! Kagame anaweza akafanya madudu watu wakafumba macho. Si Tanzania. Tanzania na shida zetu we are power house. We have natural resources zinazogombaniwa na ulimwengu. Rwanda ana nini? Na msisahau Rwanda walikuwa na Genocide..dunia ikakaa kimya. Kwa hiyo ni nchi chache zilizokuwa na moral authority kuilaumu! Everyone was guilty except Kagame. Na ndo kitu kimemsaidia Kagame mpaka leo.

Mwisho wa siku naweza sema kwamba, JPM anapambana vita kali sana ya kiuchumi. Lakini katika hii vita Lazima Rais wetu awe na strategy. Huwezi kuwa-confront wazungu au maslahi yao ukabaki salama! Maana wakikuwekea vikwazo...hakuna kitakachofanyika maana hata spare za hizo ndege, train na mengineyo watakunyima!

Namuunga mkono JPM apambanie maslahi mapana ya WaTanzania. Lakini atambue kwamba alichaguliwa na wana CCM, wana Chadema, wana CUf na wote waliokuwa wanaamini anakuja kuwa mkombozi wa taifa letu.

Hizi strategy za kupitisha sheria zisizo Rafiki kama za takwimu, za kudhibiti vyama vingi (read upinzani), kununua wabunge wa upinzani, kusweka wapinzani lupango au wenye mawazo tofauti, kuteka watu na mengineyo lukuki ( Hata kama serikali yake haifanyi hayo...Lakini tuone juhudi za maksudi za serikali kuyatafutia ufumbuzi). Yanaitia doa kubwa sana serikali yake. Ajitafakari.

Haya mambo asipokuwa makini ndo yatampa wakati mgumu zaidi kuliko hii vita ya uchumi au Stiegler's gorge na makinikia.

Ukweli ni kwamba yanayofanyika Tanzania yanafanyika nchi nyingi tuu tena zaidi yetu. Lakini tofauti huwezi kusikia viongozi wa hayo mataifa wakiyaongelea kwenye media. Uongozi ni busara. Hata mke na mume mkigombana chumbani mnayamaliza humo humo mkienda sebuleni mnakuwa watu wa dunia nyingine...(ndo maana siku hizi ndoa nyingi za Instagram na facebook hazidumu..hahahah)

Mwisho: It is through tolerance as a nation we can promote sustainable coexistence.
kuna watu mnajua kizungu, kuna maneno hapo nmetoka kapa!!
 
Ndugu yangu uliona mbali sana. Lakini hata serikali ililiona hilo. Ndio maana ndege hizi zilinunuliwa na ni mali ya serikali sio ATCL. Na nimeona chombo cha habari kimoja cha nje kimefafanua hili "Analysts have said Tanzania's planes had been put under the ownership of the TGFA to avoid possible confiscation of the planes from lawsuits related to Air Tanzania’s multi-million dollar debts from previous suppliers."
Hawatakuelewa mkuu
 
Kupanga ni kuchagua, bora hiyo hela tungeweka kwenye mataluma arafu tuone nani anakuja kung'oa
 
Msiniulize kwa nini, ila kifupi, vita ya kiuchumi ni ngumu sana kuipigana, sabotage ni nyingi, tuombe hii vita tuishinde au tuombe ipite salama, maana huko nje hali yetu kimataifa siyo nzuri, mabeberu walikuwa wanatafuta upenyo wa kuingia safari hii wamepata.

Nitawapa mfano mmoja tu, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje kufafanua suala la ushoga na kulikana tamko la mkuu wa mkoa P. Makonda, bado wametoka na resolution, siyo kwamba hawakuelewa bali upenyo waliokuwa wanautafuta hawataki kuuachia.

Vivyo hivyo itatafutwa justification ya kuzikamata baadhi ya ndege zetu pindi zitakapoanza safari za nje kutokana na madeni kwa malengo hayo hayo ya kutuvuruga na kutukwamisha.

Niiteni dalali wa mabeberu sawa lkn ujumbe nimeufikisha.

Kuwa mzalendo kwa kusema ukweli na siyo kuuficha.
Naona mambo yanazidi kutimia.
Mombo ni motoooo!

ATCL wako hoi taabani.
Ndege zingine mbovu, nyingine imekamatwa, nyingine zinaruka bila abiria, nyingine zinabeba shehena za samaki nk.
 
Mkuu tuna wakati mgumu sana kwenye siasa na mahusiano ya kidiplomasia kimataifa. Lakini hii hali inakolezwa na viongozi wetu wanaojiongelea tuu linalowaingia kichwani! Mpaka leo naamini 70% ya hizi Changamoto tumejitafutia wenyewe....

Hivi kulikuwa na ulazima gani wa Makonda kuutangazia ulimwengu kwamba anataka list ya mashoga wote? (hii inatofauti gani na Hitler alipokuwa anawinda wayahudi?-ni mfano extreme Lakini ndicho MAKONDA ALIWAONYESHA walimwengu kwa tamko lake. Waliosoma historia wanaelewa namaanaisha nini. Yes sera ya taifa haitambui ushoga. Lakini je tuwadhuru au kuwaua?? Ni swali letu sote.

Hivi kulikuwa na umuhimu gani kupambana na Lissu mpaka akapigwa marisasi kama gaidi..simply kwa sababu hakubaliani na sera za viongozi wetu na CCM? Yeye kama mwanasiasa tena mbunge ni haki yake! Tutake tusitake. Ndo kazi inayomlipa Lissu mshahara-Kuipinga serikali. I know Lissu "anauzi kweli kweli....." Lakini ukomavu wa kisiasa ni kuvumiliana.

Hizi kesi za kitoto kila siku kusweka wapinzani ndani...zina umuhimu gani? To be honest ni kesi za kijinga (sorry kuziita hivyo). Lakini impact yake ni kubwa....ni vitu vya kijinga kama hivi vinamfanya Raisi wetu aonekane dictator! Wakati anapambania maslahi mapana ya waTanzania..... Imagine...taifa linaonekana la watu wasiojali utu simply because umeamua kumkomoa Lema au Mbowe kumuweka gerezani kwa wiki mbili au tatu! Again, sisemi Lema au mpinzani mwingine asiswekwe ndani....kama kafanya kosa. La hasha..Lakini Tukatae tukubali..wapinzani KAMWE hawatasema kile watawala wanataka kukisikia! Never!

Hivi kulikuwa na umuhimu wa nini Jiwe kuutangazia ulimwengu kwamba wasichana waliojifungua hawaruhusiwi kurudi shule?? Hii sera ilikuwepo miaka na miaka..Lakini viongozi huko nyuma walii-manage vizuri......tujifunze kula na vipofu. siyo kila kitu kinafaa kuutangazia ulimwengu.

Mwisho wa siku, nasema inawezekana kuna wale wanaoamini kwamba Rais wetu anaweza akatawala kama Kagame kuhakikisha hakuna upinzani. Kitu watu wenye mawazo kama haya wanachosahau, Rwanda ni nchi ndogo sana kwenye Ramani ya dunia. It is inconsequential! NA LAZIMA MSOME Rwanda IMETOKA WAPI!!! Kagame anaweza akafanya madudu watu wakafumba macho. Si Tanzania. Tanzania na shida zetu we are power house. We have natural resources zinazogombaniwa na ulimwengu. Rwanda ana nini? Na msisahau Rwanda walikuwa na Genocide..dunia ikakaa kimya. Kwa hiyo ni nchi chache zilizokuwa na moral authority kuilaumu! Everyone was guilty except Kagame. Na ndo kitu kimemsaidia Kagame mpaka leo.

Mwisho wa siku naweza sema kwamba, JPM anapambana vita kali sana ya kiuchumi. Lakini katika hii vita Lazima Rais wetu awe na strategy. Huwezi kuwa-confront wazungu au maslahi yao ukabaki salama! Maana wakikuwekea vikwazo...hakuna kitakachofanyika maana hata spare za hizo ndege, train na mengineyo watakunyima!

Namuunga mkono JPM apambanie maslahi mapana ya WaTanzania. Lakini atambue kwamba alichaguliwa na wana CCM, wana Chadema, wana CUf na wote waliokuwa wanaamini anakuja kuwa mkombozi wa taifa letu.

Hizi strategy za kupitisha sheria zisizo Rafiki kama za takwimu, za kudhibiti vyama vingi (read upinzani), kununua wabunge wa upinzani, kusweka wapinzani lupango au wenye mawazo tofauti, kuteka watu na mengineyo lukuki ( Hata kama serikali yake haifanyi hayo...Lakini tuone juhudi za maksudi za serikali kuyatafutia ufumbuzi). Yanaitia doa kubwa sana serikali yake. Ajitafakari.

Haya mambo asipokuwa makini ndo yatampa wakati mgumu zaidi kuliko hii vita ya uchumi au Stiegler's gorge na makinikia.

Ukweli ni kwamba yanayofanyika Tanzania yanafanyika nchi nyingi tuu tena zaidi yetu. Lakini tofauti huwezi kusikia viongozi wa hayo mataifa wakiyaongelea kwenye media. Uongozi ni busara. Hata mke na mume mkigombana chumbani mnayamaliza humo humo mkienda sebuleni mnakuwa watu wa dunia nyingine...(ndo maana siku hizi ndoa nyingi za Instagram na facebook hazidumu..hahahah)

Mwisho: It is through tolerance as a nation we can promote sustainable coexistence.
....
.... Great
 
Tubadilishe badala ya ATCL ambayo ina madeni tuite CAT-L i.e Corporation Air Tanzania -Limited mbona wageni wanabadilisha sana hotel zetu kukwepa mitego mpangilio wa maneno tusijali maadam yale maneno ya mwanzo yamo
 
Tanzania tumepiga atua sana maana miaka iliyopita Mali zetu zilikuwa azikamatwi ina maana serikali ilikuwa aina kitu zaid ya Aridhi na majengo tu.
 
Back
Top Bottom