Nimeanza kuwa na wasiwasi na usalama wa ndege zetu zitakapoanza safari za nje

Msiniulize kwa nini, ila kifupi, vita ya uchumi ni ngumu sana kuipigana, sabotage ni nyingi, tuombe hii vita tuishinde au tuombe ipite salama, maana huko nje hali yetu kimataifa siyo nzuri, mabeberu walikuwa wanatafuta upenyo wa kuingia safari hii wamepata.

Nitawapa mfano mmoja tu, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje kufafanua suala la ushoga na kulikana tamko la mkuu wa mkoa P. Makonda, bado wametoka na resolution, siyo kwamba hawakuelewa bali upenyo waliokuwa wanautafuta hawataki kuuachia.

Vivyo hivyo itatafutwa justification ya kuzikamata baadhi ya ndege zetu pindi zitakapoanza safari za nje kutokana na madeni kwa malengo hayo hayo ya kutuvuruga na kutukwamisha.

Niiteni dalali wa mabeberu sawa lkn ujumbe nimeufikisha.

Kuwa mzalendo kwa kusema ukweli na siyo kuuficha.
Sio kila unachowaza chafaa kuandikwa, tupinde nchi yetu
 
Kwa ukubwa wetu tulikuwa tunaaminiwa kulinda amani katika huu ukanda.
Amani, utulivu, hekima na heshima kimataifa ndio la kuzingatia na sisi ndio wasuluhishi wakubwa likija tatizo lolote kwa majirani zetu.
Ukubwa ni nguvu naomba tuwe hivyo hivyo
 
Mkuu tuna wakati mgumu sana kwenye siasa na mahusiano ya kidiplomasia kimataifa. Lakini hii hali inakolezwa na viongozi wetu wanaojiongelea tuu linalowaingia kichwani! Mpaka leo naamini 70% ya hizi Changamoto tumejitafutia wenyewe....

Hivi kulikuwa na ulazima gani wa Makonda kuutangazia ulimwengu kwamba anataka list ya mashoga wote? (hii inatofauti gani na Hitler alipokuwa anawinda wayahudi?-ni mfano extreme Lakini ndicho MAKONDA ALIWAONYESHA walimwengu kwa tamko lake. Waliosoma historia wanaelewa namaanaisha nini. Yes sera ya taifa haitambui ushoga. Lakini je tuwadhuru au kuwaua?? Ni swali letu sote.

Hivi kulikuwa na umuhimu gani kupambana na Lissu mpaka akapigwa marisasi kama gaidi..simply kwa sababu hakubaliani na sera za viongozi wetu na CCM? Yeye kama mwanasiasa tena mbunge ni haki yake! Tutake tusitake. Ndo kazi inayomlipa Lissu mshahara-Kuipinga serikali. I know Lissu "anauzi kweli kweli....." Lakini ukomavu wa kisiasa ni kuvumiliana.

Hizi kesi za kitoto kila siku kusweka wapinzani ndani...zina umuhimu gani? To be honest ni kesi za kijinga (sorry kuziita hivyo). Lakini impact yake ni kubwa....ni vitu vya kijinga kama hivi vinamfanya Raisi wetu aonekane dictator! Wakati anapambania maslahi mapana ya waTanzania..... Imagine...taifa linaonekana la watu wasiojali utu simply because umeamua kumkomoa Lema au Mbowe kumuweka gerezani kwa wiki mbili au tatu! Again, sisemi Lema au mpinzani mwingine asiswekwe ndani....kama kafanya kosa. La hasha..Lakini Tukatae tukubali..wapinzani KAMWE hawatasema kile watawala wanataka kukisikia! Never!

Hivi kulikuwa na umuhimu wa nini Jiwe kuutangazia ulimwengu kwamba wasichana waliojifungua hawaruhusiwi kurudi shule?? Hii sera ilikuwepo miaka na miaka..Lakini viongozi huko nyuma walii-manage vizuri......tujifunze kula na vipofu. siyo kila kitu kinafaa kuutangazia ulimwengu.

Mwisho wa siku, nasema inawezekana kuna wale wanaoamini kwamba Rais wetu anaweza akatawala kama Kagame kuhakikisha hakuna upinzani. Kitu watu wenye mawazo kama haya wanachosahau, Rwanda ni nchi ndogo sana kwenye Ramani ya dunia. It is inconsequential! NA LAZIMA MSOME Rwanda IMETOKA WAPI!!! Kagame anaweza akafanya madudu watu wakafumba macho. Si Tanzania. Tanzania na shida zetu we are power house. We have natural resources zinazogombaniwa na ulimwengu. Rwanda ana nini? Na msisahau Rwanda walikuwa na Genocide..dunia ikakaa kimya. Kwa hiyo ni nchi chache zilizokuwa na moral authority kuilaumu! Everyone was guilty except Kagame. Na ndo kitu kimemsaidia Kagame mpaka leo.

Mwisho wa siku naweza sema kwamba, JPM anapambana vita kali sana ya kiuchumi. Lakini katika hii vita Lazima Rais wetu awe na strategy. Huwezi kuwa-confront wazungu au maslahi yao ukabaki salama! Maana wakikuwekea vikwazo...hakuna kitakachofanyika maana hata spare za hizo ndege, train na mengineyo watakunyima!

Namuunga mkono JPM apambanie maslahi mapana ya WaTanzania. Lakini atambue kwamba alichaguliwa na wana CCM, wana Chadema, wana CUf na wote waliokuwa wanaamini anakuja kuwa mkombozi wa taifa letu.

Hizi strategy za kupitisha sheria zisizo Rafiki kama za takwimu, za kudhibiti vyama vingi (read upinzani), kununua wabunge wa upinzani, kusweka wapinzani lupango au wenye mawazo tofauti, kuteka watu na mengineyo lukuki ( Hata kama serikali yake haifanyi hayo...Lakini tuone juhudi za maksudi za serikali kuyatafutia ufumbuzi). Yanaitia doa kubwa sana serikali yake. Ajitafakari.

Haya mambo asipokuwa makini ndo yatampa wakati mgumu zaidi kuliko hii vita ya uchumi au Stiegler's gorge na makinikia.

Ukweli ni kwamba yanayofanyika Tanzania yanafanyika nchi nyingi tuu tena zaidi yetu. Lakini tofauti huwezi kusikia viongozi wa hayo mataifa wakiyaongelea kwenye media. Uongozi ni busara. Hata mke na mume mkigombana chumbani mnayamaliza humo humo mkienda sebuleni mnakuwa watu wa dunia nyingine...(ndo maana siku hizi ndoa nyingi za Instagram na facebook hazidumu..hahahah)

Mwisho: It is through tolerance as a nation we can promote sustainable coexistence.
umesema kweli kabisa mkuu...hapo kwenye suala la ushoga tangu miaka ya 90 linapingwa ila tunapambana nao kimyakimya, tatizo la viongozi wetu ni kukosa busara na kukurupuka tu.
 
Hivi wanaccm kwanini mnadhani watanzania ni wajinga kiasi hiko? Ushoga ushoga ushoga
 
Sasa nimejua umuhim Wa ile sehem ya CV inayoandikwa "team work and ability to work with others". Wazee wapo waingilie kati na wampe muongozo mbona yataisha
hilo ni gumu sana, jamaa hashauriki, hapangiwi na hana mpango wa kupangiwa...vile vile hajui kuwa hajui
 
Mkuu tuna wakati mgumu sana kwenye siasa na mahusiano ya kidiplomasia kimataifa. Lakini hii hali inakolezwa na viongozi wetu wanaojiongelea tuu linalowaingia kichwani! Mpaka leo naamini 70% ya hizi Changamoto tumejitafutia wenyewe....

Hivi kulikuwa na ulazima gani wa Makonda kuutangazia ulimwengu kwamba anataka list ya mashoga wote? (hii inatofauti gani na Hitler alipokuwa anawinda wayahudi?-ni mfano extreme Lakini ndicho MAKONDA ALIWAONYESHA walimwengu kwa tamko lake. Waliosoma historia wanaelewa namaanaisha nini. Yes sera ya taifa haitambui ushoga. Lakini je tuwadhuru au kuwaua?? Ni swali letu sote.

Hivi kulikuwa na umuhimu gani kupambana na Lissu mpaka akapigwa marisasi kama gaidi..simply kwa sababu hakubaliani na sera za viongozi wetu na CCM? Yeye kama mwanasiasa tena mbunge ni haki yake! Tutake tusitake. Ndo kazi inayomlipa Lissu mshahara-Kuipinga serikali. I know Lissu "anauzi kweli kweli....." Lakini ukomavu wa kisiasa ni kuvumiliana.

Hizi kesi za kitoto kila siku kusweka wapinzani ndani...zina umuhimu gani? To be honest ni kesi za kijinga (sorry kuziita hivyo). Lakini impact yake ni kubwa....ni vitu vya kijinga kama hivi vinamfanya Raisi wetu aonekane dictator! Wakati anapambania maslahi mapana ya waTanzania..... Imagine...taifa linaonekana la watu wasiojali utu simply because umeamua kumkomoa Lema au Mbowe kumuweka gerezani kwa wiki mbili au tatu! Again, sisemi Lema au mpinzani mwingine asiswekwe ndani....kama kafanya kosa. La hasha..Lakini Tukatae tukubali..wapinzani KAMWE hawatasema kile watawala wanataka kukisikia! Never!

Hivi kulikuwa na umuhimu wa nini Jiwe kuutangazia ulimwengu kwamba wasichana waliojifungua hawaruhusiwi kurudi shule?? Hii sera ilikuwepo miaka na miaka..Lakini viongozi huko nyuma walii-manage vizuri......tujifunze kula na vipofu. siyo kila kitu kinafaa kuutangazia ulimwengu.

Mwisho wa siku, nasema inawezekana kuna wale wanaoamini kwamba Rais wetu anaweza akatawala kama Kagame kuhakikisha hakuna upinzani. Kitu watu wenye mawazo kama haya wanachosahau, Rwanda ni nchi ndogo sana kwenye Ramani ya dunia. It is inconsequential! NA LAZIMA MSOME Rwanda IMETOKA WAPI!!! Kagame anaweza akafanya madudu watu wakafumba macho. Si Tanzania. Tanzania na shida zetu we are power house. We have natural resources zinazogombaniwa na ulimwengu. Rwanda ana nini? Na msisahau Rwanda walikuwa na Genocide..dunia ikakaa kimya. Kwa hiyo ni nchi chache zilizokuwa na moral authority kuilaumu! Everyone was guilty except Kagame. Na ndo kitu kimemsaidia Kagame mpaka leo.

Mwisho wa siku naweza sema kwamba, JPM anapambana vita kali sana ya kiuchumi. Lakini katika hii vita Lazima Rais wetu awe na strategy. Huwezi kuwa-confront wazungu au maslahi yao ukabaki salama! Maana wakikuwekea vikwazo...hakuna kitakachofanyika maana hata spare za hizo ndege, train na mengineyo watakunyima!

Namuunga mkono JPM apambanie maslahi mapana ya WaTanzania. Lakini atambue kwamba alichaguliwa na wana CCM, wana Chadema, wana CUf na wote waliokuwa wanaamini anakuja kuwa mkombozi wa taifa letu.

Hizi strategy za kupitisha sheria zisizo Rafiki kama za takwimu, za kudhibiti vyama vingi (read upinzani), kununua wabunge wa upinzani, kusweka wapinzani lupango au wenye mawazo tofauti, kuteka watu na mengineyo lukuki ( Hata kama serikali yake haifanyi hayo...Lakini tuone juhudi za maksudi za serikali kuyatafutia ufumbuzi). Yanaitia doa kubwa sana serikali yake. Ajitafakari.

Haya mambo asipokuwa makini ndo yatampa wakati mgumu zaidi kuliko hii vita ya uchumi au Stiegler's gorge na makinikia.

Ukweli ni kwamba yanayofanyika Tanzania yanafanyika nchi nyingi tuu tena zaidi yetu. Lakini tofauti huwezi kusikia viongozi wa hayo mataifa wakiyaongelea kwenye media. Uongozi ni busara. Hata mke na mume mkigombana chumbani mnayamaliza humo humo mkienda sebuleni mnakuwa watu wa dunia nyingine...(ndo maana siku hizi ndoa nyingi za Instagram na facebook hazidumu..hahahah)

Mwisho: It is through tolerance as a nation we can promote sustainable coexistence.
@masanja umeongea sana tena vizuri mno, natamani angesoma post yako mkuu
 
Aisee imebidi nirudi kuisoma tena post yako, vitu wanavyofanya watawala utadhani watakuwa watawala milele hawakumbuki ni juzi tu wameapishwa leo ni mwaka wa nne na hardly wamebakisha mwaka mmoja madarakani. Kodos.
 
Msiniulize kwa nini, ila kifupi, vita ya uchumi ni ngumu sana kuipigana, sabotage ni nyingi, tuombe hii vita tuishinde au tuombe ipite salama, maana huko nje hali yetu kimataifa siyo nzuri, mabeberu walikuwa wanatafuta upenyo wa kuingia safari hii wamepata.

Nitawapa mfano mmoja tu, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje kufafanua suala la ushoga na kulikana tamko la mkuu wa mkoa P. Makonda, bado wametoka na resolution, siyo kwamba hawakuelewa bali upenyo waliokuwa wanautafuta hawataki kuuachia.

Vivyo hivyo itatafutwa justification ya kuzikamata baadhi ya ndege zetu pindi zitakapoanza safari za nje kutokana na madeni kwa malengo hayo hayo ya kutuvuruga na kutukwamisha.

Niiteni dalali wa mabeberu sawa lkn ujumbe nimeufikisha.

Kuwa mzalendo kwa kusema ukweli na siyo kuuficha.

Hv unaishi nchi ipi dunia hii?
 
Sioni uhusiano wa madeni na ndege zetu. Kwenye madeni hata wao wanayo, tunaweza tusiyajue lakini wanadaiwa.
Haki za binadamu hazizuii ndege kufanya biashara.
Wanaweza kutushauri tuweke usawa wa kisiasa na tuheshimu haki za binadamu na ndivyo wamefanya.
Sema hili la umeme wa Stiglers Gorge. Nawasiwasi linaweza likaishia kwenye mkataba, lisiendelee kwenye ujenzi.
Nafikiri sasa umeona uhusiano wa ndege na madeni.
 
Back
Top Bottom