Nimeanza kujifunza uchawi!!!

Nimeanza kujifunza uchawi!!!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..
 
Utawaloga wachawi wenzio tu, mie nina Jah!

Uchawi kwangu hauna nafasi na siuamini kabisa
Unasema "utawaloga wachawi wenzio tu " halafu hapo hapo unasema uchawi hauamini kabisa, which is which and which is not which? How can you contradict yourself in less than 5 minutes? Anyway kinacho determine mtu kulogwa au kutokulogwa is not whether u believe in witchcraft or not ? Kama ulikuwa unadhani ukiamini au kufikiri kuwa uchawi hauwezi kuwa na nguvu kwako ndio kinga ya uchawi, utakuwa unajidanganya sana!
 
unajifunza uchawi halafu unataka usaidie watu tena!

Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..

Ni kitu gani ambacho hujakielewa hapo kaka? Au ndo wale wenzangu na mimi wa Teamweakintellect?
 
1. Una mpango wa kuchukua cheti, diploma, shahada au level ipi?
2. Baada ya kuhitimu una mpango wa kusaidia wengine?
3. Sifa za kujiunga kwa huyo mwalimu ni zipi?
4. Mtu anaweza kuchukua kozi fupi mfano ya urubani wa fastjet za usiku tu?
5.Utaratibu wa malipo upoje? Na ni malipo ya namna gani?
Ni haya tu kwa sasa.
 
We jifaraguetukutupie jini Kisirani... Kulikuwa hakuna haja ya kujifunza shirk ungetafta mtu akusomee upate Maruhani! Yatakusaidia

Unamaanisha Maruhani Fellaini au? Anyaway mimi sio mswahilina
 
Back
Top Bottom