Mkuu huja nitendea haki kwa hako kajogoo!umekapa madem wengi ila si saiz yake kabisa hebu tafuta mwanaume wa kweli!.....
.....Halafu ume wafuga kiswaz sana yaani msosi ume mwaga chini!maji kwenye vikopo duuh huyu eti ndio ata wafikia kina Interchick!!!
nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza kuku wa kienyeji! kwa kuanza nimenunua kuku 9 kati ya hao jogoo ni moja ambaye namwona bado ndama . nina siku ya tatu tangia nianze na leo nimeamka nimeona kuku mmoja anapinda mgongo na anakuwa kazubaazubaa sasa sijui kama ndio kideri kimeanza! naomba mdaqu mwenye uzoefu na hawa wadudu anishauri ni dawa gani naweza kuwapa ili kunusuru hawa jamaa!View attachment 72018
View attachment 72019
Hongera sana kwa kuthubutu kuanzisha mradi wa kuku wa kienyeji. Idadi uliyoanza nayo nadhani ni nzuri ila unahitaji jogoo mwenye uwezo mzuri wa kupanda. Mimi siyo daktari wa mifugo lakini ni mfugaji wa kuku kideli ni rahisi sana kuki kinga kwa chanjo ya kideli and newcastle lakini wakisha anza kusinzia ni nadra kufanya lolote. Nimesoma kitabu fulani cha shirika linaitwa KIMKUMAKA wanashauri kutumia muarobaini kutibu kideli. Jaribu kutwanga muarobaini loweka kwenye maji na chija machicha kisha wapatie wanywe. Kwakuwa ni chungu, siku ya kuwapa muarobaini hakikisha siku hiyo unawapa chakula bila maji na wapatie maji ya muarobaini baada ya kuwa wamepata kiu sana.nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza kuku wa kienyeji! kwa kuanza nimenunua kuku 9 kati ya hao jogoo ni moja ambaye namwona bado ndama . nina siku ya tatu tangia nianze na leo nimeamka nimeona kuku mmoja anapinda mgongo na anakuwa kazubaazubaa sasa sijui kama ndio kideri kimeanza! naomba mdaqu mwenye uzoefu na hawa wadudu anishauri ni dawa gani naweza kuwapa ili kunusuru hawa jamaa!View attachment 72018
View attachment 72019
Hongera sana kwa kuthubutu kuanzisha mradi wa kuku wa kienyeji. Idadi uliyoanza nayo nadhani ni nzuri ila unahitaji jogoo mwenye uwezo mzuri wa kupanda. Mimi siyo daktari wa mifugo lakini ni mfugaji wa kuku kideli ni rahisi sana kuki kinga kwa chanjo ya kideli and newcastle lakini wakisha anza kusinzia ni nadra kufanya lolote. Nimesoma kitabu fulani cha shirika linaitwa KIMKUMAKA wanashauri kutumia muarobaini kutibu kideli. Jaribu kutwanga muarobaini loweka kwenye maji na chija machicha kisha wapatie wanywe. Kwakuwa ni chungu, siku ya kuwapa muarobaini hakikisha siku hiyo unawapa chakula bila maji na wapatie maji ya muarobaini baada ya kuwa wamepata kiu sana.
Wape wote dawa hata wale ambao hawajaanza kusinzia. Ukijaribu chanjo ya kideli sasa hivi usije shangaa wakafa wote. wakisha pona wapatie chanjo ya kideli walao mara 3 au 4 kwa mwaka, utafurahia mifugo yako. Pia usisahau dawa ya monyoo. Hongera sana na kila la kheri.
araway kama upo hapa nitafute kwenye namba hii 0764860293 ninakauzoefu kidogo na ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa ugonjwa wa kideli kuna dawa inaitwa FLUBAN kuna kitu naona umekosea jitaidi nitafute nikuele vizur.
Hongera sana kwa kuthubutu kuanzisha mradi wa kuku wa kienyeji. Idadi uliyoanza nayo nadhani ni nzuri ila unahitaji jogoo mwenye uwezo mzuri wa kupanda. Mimi siyo daktari wa mifugo lakini ni mfugaji wa kuku kideli ni rahisi sana kuki kinga kwa chanjo ya kideli and newcastle lakini wakisha anza kusinzia ni nadra kufanya lolote. Nimesoma kitabu fulani cha shirika linaitwa KIMKUMAKA wanashauri kutumia muarobaini kutibu kideli. Jaribu kutwanga muarobaini loweka kwenye maji na chija machicha kisha wapatie wanywe. Kwakuwa ni chungu, siku ya kuwapa muarobaini hakikisha siku hiyo unawapa chakula bila maji na wapatie maji ya muarobaini baada ya kuwa wamepata kiu sana.
Wape wote dawa hata wale ambao hawajaanza kusinzia. Ukijaribu chanjo ya kideli sasa hivi usije shangaa wakafa wote. wakisha pona wapatie chanjo ya kideli walao mara 3 au 4 kwa mwaka, utafurahia mifugo yako. Pia usisahau dawa ya monyoo. Hongera sana na kila la kheri.
mwanzo mgumu uckate tamaa ulichokosea kingine usimwage chakula chini ni rahisi sana kupata magonjwa tafuta vyombo vya kulia ni vya bati vinauzwa kwenye masoko ya kawaida hakikisha sehemu wanaporia ni pakavu .