Nimeangukia kwa single Mother

Ndugu zangu,

Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.

Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.

Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.

NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Kutoka Kataa Ndoa mpaka kuoa single Mother.....😅😅
 
Kujidai tu umeshanasa😂
 
single mother ni wakumgawia mbegu tu watu wasiishe..hio ni incubetor.... ukiipeleka kwa familia anaenda kutia doa kubwa hata kama huyo mama ana hela kiasi gani...
 
Oa mwaego wanakuonea wivu tu, hakunaga formula ya maisha, walioa wasio masingle mom na wanalea watoto wasio wao maana wake zao full kuchepuka, my dear kama anakupenda, anakujali, anakuheshimu ....
......dadako nakishauri oa huyo mwanamke
Hao wametaka kulea watoto wasio wao. Siku hizi ukilea mtoto asiye wako basi jua wewe taahira.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu,

Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.

Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.

Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.

NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Sio kila single mother hafai kuowa, wapo wengine wazuri na wananaojitambua kikubwa ni wewe kwa muda uliofahamiana naye uangalie vigezo unavyovitaka pia sikiliza moyo wako usisikilize wanaokuponda hapa maana hata wao hawakuowa mabikira.
 
Muhimu heshima na mapenzi ya kweli unaweza oa asiezaa ila akawa ni tabu tupu. Pia angalia sababu za kuachana na huyo mtu wake.
Ukioa single mother hakikisha umeona;
1. Kaburi la ex
2. Cheti cha kifo cha ex (jina lifanane na kaburini)
3. Video clip ya siku ya mazishi.
 
Kuna demu nilimtongoza na akanikubali baada ya kuzoeana mimi Nikataka kujua je ameshazaa ana mtoto, Nikamuuliza una mtoto yeye akajibu ndiyo anaye mtoto na picha akanitumia.

Mimi nikampongeza sasa kwakuwa mimi kipindi hicho nilikuwa na mpango wa kuoa lakini siyo mwanamke mwenye mtoto inabidi nimtoe kwenye mipango yangu kimya kimya, Yeye akawa ana niomba nikajitambulushe kwao lakini mimi napiga chenga kwa sababu aliniambia kashazaa ana mtoto, Sasa basi mwaka huu akaanza kuniambia tuishi pamoja na mtoto wake kama nitaweza

Mimi nikawa na mjibu nitaweza sasa majuzi kaweka picha ya mtoto mchanga na kuniambia ni mtoto wake ana miezi miwili. Akaniambia nili kudanganyaga kipindi kile nimezaa ila nilikuwa sija zaa kwa hiyo kama nipo tayar tuishi pamoja na mtoto wake nimeamua kukwambia ukweli, mimi nikamjibu umechelewa kusema ukweli.
 
Wanawake ni waigizaji wazuri Sana,km huamini angalia familia ambayo mama wa kambo anajifanya anawajari watoto wa mme wake ,fatilia nyuma ya camera au mwanaume akifa,Single maza achana nae kwa kifupi over ,km unadada yako omba ushauri kwa kumtania tu uone atakavyo tiliika maana hakuna anaemjua mwanamke zaidi ya mwanamke mwenyewe
 
Yaani ulivyoongea Kwa mbwembwe kumbe unaenda kuoa mkenya?jiandae kwa mangumi
 
Back
Top Bottom