Umtama Mula
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 230
- 607
Nilikuwa naangalia Ramani ya Africa mashariki. Nikaangalia kwa makini Ramani ya Tanzania, unyoofu wake na kulinganisha unyoofu huo na Nchi zote zinazotunguka.Ni wazi Rwanda na Burundi ni Ndugu Zetu Kabisa.
Sijui ilikuwaje Mwalimu akawafata Wanzanzibari na kuwaacha hawa ndugu zetu. Hawa wanapaswa kuwa Makaba ndani ya Tanganyika,Wahangaza kwa Kagame na Waha kwa Ndayishimiye. Hawa ni wenzetu, tufanya hima warudi kundini.