Nimeandikiwa msg hii!

achan nae bwana mbususu zipo nyingi sana. alafu hapo shida ni ndalama tuu hamna kingine.
 
Kwa huo uandishi tu kama ndio namna yake ya uandishi siwezi kumfanya hata awe rafiki yangu wa kawaida achilia mbali kuwa mpenzi wangu.

I hate people who embrace stupidity.
 
Kwa huo uandishi tu kama ndio namna yake ya uandishi siwezi kumfanya hata awe rafiki yangu wa kawaida achilia mbali kuwa mpenzi wangu.

I hate people who embrace stupidity.
Hahahah tulikuwa tuna-chat kwa msg za kawaida, ndiyo maana akaandika kwa kifupi hivyo.
 
mambo mengine muwe mnasubiri mkue kue kwanza...
 
Namaanisha kua kama ukilazimisha kua na huyo manzi wakat ana mtu wake na ashakwambia, mtaanza kulumbana na uyo mtu wake, na yeye kuna mtu atakua anampenda kati yenu eidha wewe au huyo jamaa. Na kama sio wewe basi utaumia tu mkuu.
 
Ndio ujinga wa maisha, Ukiwa Chuo watoto wanakua wakali balaa halafu unakua na "appetite" sana sema unakua huna "cash"!

Ukiwa Mtaani unakua na cash ila sasa unakua huna muda, huna appetite, una majukumu! Dah unakua unapishana na fursa!
95/100 excellent
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…