Nimeandikiwa msg hii!

Mmmh sidhani, sasa kwa nini unasema nisisahau condom wakati umesema mimi bado mdogo na sijajua maisha?
Una mihemko ya kimwili. Bado hujapevuka kiakili. Hujui namna ya kuhandle mambo. Busara ni kutulia na kuusoma mchezo. Na kama unashindwa kujizuia basi angalau tumia kinga.
 
Good after noon boss. Need we say more?
 
Hujawahi kudate??
Kama ana mchizi wake na wanakuandama wote temana nae tu. Haina haja ya kugombania manzi na wapo wengi tu kitaa.
Yaani mchizi wake kanitishia baada ya kugundua, kani-text msg ya vitisho. Demu kwa wakati wake naye akaniandikia huo ujumbe, baada ya mchizi kunitumia wake kwa number ya demu wake.
 
Fanya hivi mludishie hiyo sms kama alivyo ituma bila kuongeza kitu wala kupunguza kitu,kisha piga pini no,zake zote halafu baada ya hapo futa kabisa na uwe kalibu na mungu wako zaidi kwa msaada wa imani yako,na endelea na maisha yako.N.B kama una picha zake futa kabisa.
 
Kwa kingereza ni hapana. Na hakuna cha mtaani kwa hivyo kwa English. Accept that.
Sio kuwa nakupinga, ila niliki-note somewhere, na aliyeongea alikuwa actor. Kwa hiyo nikakichukua kama kilivyo, so ninaamini ni cha mtaani. Maybe jamaa niliyem-note hakuwa sahihi, nakubali.
 
Yaani mchizi wake kanitishia baada ya kugundua, kani-text msg ya vitisho. Demu kwa wakati wake naye akaniandikia huo ujumbe, baada ya mchizi kunitumia wake kwa number ya demu wake.
Temana nae mzee, usijeingia vibaya ukayachukia mapenz.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…