Nimeandikiwa msg hii!

Acha ufala kashasema ana mtu wake hakuitaji

Mara nyingi ma single majibu yao yanajulikana mfano siitaji kuwa na mtu sasa ,hao sikuhitaj ,husikii akitaja mtu so huwa tunaendelea kukaza

Huyo yupo specific
Sawa kaka, ila nashukuru sijakataliwa, bali kasema ukweli.
 
Nafikiri umeanza mahusiano mapema sana, na pia tafuta kila njia ya kufanya maamuzi yako binafsi....

Respect brother......
Ahsante kaka, ila mimi nina 23 yrs, inakuwaje mapema sasa? Na sijawahi ku-date, hii ingekuwa mara yangu ya kwanza.
 
Unatutia aibu wanaume hasa waliofika chuo. Unashindwaje kuchukua maamuzi hapo alaaa
Maamuzi gani kaka? Sijui yaani, ukizingatia hii ingekuwa mara yangu ya kwanza ku-date, sijawahi ku-date.
 
Jifunze kumuacha aende
 
Nimependa, kwani kuwa kwenye mahusiano huku ukisoma ni mbaya? Large enough nina 23 yrs, umri ambao unaniruhusu kuwa katika mahusiano kwa sasa.
Large enough ndo nini? Unasoma course gani mdogo wangu?

Hapana. Kuwa na age hiyo haimaanishj ndo umeshapevuka vyema kuwa katika mahusiano. Bado mdogo wangu. Tulia uwe na akili ya kung'amua mambo. Dunia uionavyo sivyo ilivyo
 
Huyo ni mlokole yaani, halafu mshamba fulani hivi, kiasi kwamba mambo haya ya kizungu hatokubali.
 
Large enough ndo nini? Unasoma course gani mdogo wangu?

Hapana. Kuwa na age hiyo haimaanishj ndo umeshapevuka vyema kuwa katika mahusiano. Bado mdogo wangu. Tulia uwe na akili ya kung'amua mambo. Dunia uionavyo sivyo ilivyo
Kweli dada yangu? Ila wewe ni mwanamke, ungekuwa mwanaume ungenishauri hivi ingependeza.
 
Large enough ndo nini? Unasoma course gani mdogo wangu?

Hapana. Kuwa na age hiyo haimaanishj ndo umeshapevuka vyema kuwa katika mahusiano. Bado mdogo wangu. Tulia uwe na akili ya kung'amua mambo. Dunia uionavyo sivyo ilivyo
Naweka msisitizo, 'large enough' ni kiingereza cha mtaani, maana yake ni 'kubwa kuliko' kwa kiswahili cha kawaida.
 
Yes. Bado mdogo wangu. Na usisahau condom, pia kupima muhimu. Hivi watoto wa mama salma siku hizi hawapo?
Mmmh sidhani, sasa kwa nini unasema nisisahau condom wakati umesema mimi bado mdogo na sijajua maisha?
 
Petrol litre 2 inatosha kwenye chumba cha 10*12!

Kazi iendelee!!!
 
Ahsante kaka, ila mimi nina 23 yrs, inakuwaje mapema sasa? Na sijawahi ku-date, hii ingekuwa mara yangu ya kwanza.
Mkuu, "age is just a number" tu...
Ili kumudu vizuri mahusiano inahitaji vitu vikuu vitatu

1: Biological maturity ( age): ambayo kwa wewe tayari umefikia....

2: Emotional maturity, hii kitu ni muhimu sana inakusudia ku-handkle vitu kama dissapontiment, break up, na nk.....

3: intellectual maturity, pia ni muhimu sana. hapa namaanisha elimu nzima ya mahusiano utakusaidia kujua wapi, kwanini muda gani, na kwa nani unatakiwa kuwajibika.....

Soma sana vitabu kujifunza mkuu na siku zote kumbuka
"Love doesn't keep people together but its knowledge"

Respect............
 
Maamuzi gani kaka? Sijui yaani, ukizingatia hii ingekuwa mara yangu ya kwanza ku-date, sijawahi ku-date.
Hujawahi kudate??
Kama ana mchizi wake na wanakuandama wote temana nae tu. Haina haja ya kugombania manzi na wapo wengi tu kitaa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…