Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Kudadadeki mapedeshee wa humu mnatuonea sana sisi wanyonge, kila vimwana wazuri mnao ninyi tu kisa mnamwaga pesa na kuhonga vitz na rava four,,,,,,,,,sasa kabla sijaibuka na kimwana matata humu chit chat nimeamua..............
C.C: Baba V toa taarifa kabisa kwa mapedeshee wote wa humu hasahasa Bishanga, Mwita Maranya (Nammaindi vibaya mno kwa kuniharibia kwa Mamndenyi) tusijekulaumiana baadae............ Erickb52, Arushaone, kiwatengu, Asprin (Babu mpenda totoz) nielekezeni vya moto vinakopatikana.