Nimeamua- NITAVAA JEZI YA YANGA KESHO

Hapa inacheza Yanga sio Taifa Stars. Yanga wanadai eti watawazuia wale wote watakao vaa jezi za Zamalek kesho. Simba ilipocheza na TP Mazembe, Wanayanga walivaa jezi za Mazembe. Hatukumzia mtu. Mturuhusu na sie tuone mnavyochapwa.
Hahahaha! Yanga midebwedo! Yanga si ya Tanzania bana. Yanga ni ya Jangwani!

wamesahau baelezeeee!!!!
Mi ambia wao ile kitu ya ukwee....
 
Kesho ndio game ya Caf Champions League kati ya watani na Zamalek hapo uwanja mkubwa wa Taifa. Nimeamua kwenda kinyume na mazoea ya kawaida, kwamba mtani akicheza hata na pipa, sisii tushabikie pipa. Nafuata mkondo mwingine kabisa... Sisi wapenzi na wanachama wa Simba hatujawahi kukubaliana katika kikao chochote rasmi kuwa popote itakapocheza Yanga, basi sisi tushabikie wapinzani wao hivyo kwa kuongozwa na utashi binafsi, nimeamua kuiunga mkono Yanga hiyo kesho. Tayari nimeshanunua jezi ya rangi ya manjano pamoja na skafu yake, na tiketi ya jukwaa la buluu ninayo. Mnaounga mkono maamuzi yangu mnakaribishwa. View attachment 47573Yanga African Sports ClubView attachment 47572
Utakuwa umechanganyikiwa hakuna urafiki wa simba na Yanga....kumbuka wao walivyo nunua jezi na TP Mazembe na kuwashangilia kwa nguvu zote leo simba tuwaunge mkono big NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO........na kesho lazima wachapwe
 
Kamata Yanga Tupa kule, Chukua Zamalek weka hapa! Tupa Yanga kule! Tupilia mbali! Kamata Valeur Tupa kule kamata Tusker Malt Weka hapa! Picnic pa ukweee...
Bado uko Picnic tuuuuuu hahahahahahahahahaha...............
 
Cheki mshale huyo. Kesho lazima upenye sehemu.
zamalek_100_years____logo_by_kotsh-d3foy7v.png
 
Vaa ya Yanga tu, ila ile ya Zamalek uikunje na kuiweka mfukoni. Likifika bao la tatu vua ya Yanga uvae ya mwarabu
 
Mama mdogo niambie wewe unashabikia timu gani? au uko AFC ya Arusha iliyoshushwa daraja jana baada ya kushindwa kupeleka timu uwanjani....

hahahahah Uncle soma hapo juu utanipata zungumzia timu 2 pinzani hizo nyingine baadae
 
Kwa masikitiko makubwa natanguliza "POLE" za awali kwa watani zangu YANGA kutokana na kipigo kutoka kwa ZAMALEK hapo kesho. Jipangeni kupunguza idadi ya magoli.
 
Back
Top Bottom