Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,026
Maneno ya waliotendwaNimeamua nibadilishe type za wanaume π
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba ππππ
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradiππππ
The list goes on ππππππ
Iyo k ni ya mama yako ama?"K" imeishachakwa mpaka basi na wahuni kiasi kwamba kuta za "k" zimeishaishiwa elasticity limebaki tundu tu la kukojolea alafu anatafuta mme? This is not fair!
Ya kuchoma haifanani na ya mchuzi, wala ya foili haifanani na ya kukaanga..!!Utamaliza bucha nyama ni Ile ile
Hii KaliNimeamua nibadilishe type za wanaume π
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba ππππ
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradiππππ
The list goes on ππππππ
Msalimie sana bibi, nime mmic.Hali yangu ni njema Mjukuu, Bibi yako anakusalimia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiUnajua nini kwani? π
πππ bado uko naye sambamba.!!Kidney ktk ubora wakee, ngoja waje hao wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishakuwa naye baadaye utaanza kumcheat na wale wanaume ambao huwaoni washamba maana hapa ushasema huyo ni mshamba ila baada ya ndoa utakuwa unatoka na wajanja na bila shaka muda mwingine hutaki kumtambulisha kwa rafik zako.Nimeamua nibadilishe type za wanaume π
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba ππππ
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradiππππ
The list goes on ππππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, kwa sponsa m1 hivi. Yaan aaaah[emoji23][emoji23][emoji23] bado uko naye sambamba.!!
Kwani mligumiana wapi uduguu??
ππππ ndiomana nilijua tyuu!! Sio yule nonino kweli βza kukwangua?β Yule bana uduguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, kwa sponsa m1 hivi. Yaan aaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu jamaniii, kwann lakiniii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiomana nilijua tyuu!! Sio yule nonino kweli βza kukwangua?β Yule bana uduguu
Kheeeeee..!!Iyo k ni ya mama yako ama?
Maana mm sikujui na ww hunijui
Weeeh sina uduguu!! Si unajua hapa kati nilikuwa busy na husiano lilotaka kunitoa roho πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu jamaniii, kwann lakiniii.
Hivi kuna ubuyuu, natamani uniulize/uniambie nashangaa kimyaa.
Ni kwamba huujui au haujakufikiaa?
Hao hao ndio saizi yako ,MLa magimbi kama Mimi huniweziMatozi wana drain sana siwataki
And wanataka every bitch wa insta