NImeamua kuwafungia wote

NImeamua kuwafungia wote

Me najua wazi hata kabla ya huyu dada hajaja bro wangu huwa ananichukia tu bila sababu na akamuambukiza na mke wake nasasa kila mgeni anaekuja wanamsimulia tu mabaya yangu ila kwa kuwa huyu dada tumekua nae close ndo maana nayapata vizuri
Huyo Kaka yako Ana hasira na maisha yako,huenda umemzidi kipato.Iko hivyo familia zetu za kiafrica watu hawapendi uwazidi watakuchafua Hadi ujute,la kufanya kata mawasiliano nao wote,ukikutana nao wape salamu halafu kikatae,wasikujue undani wako wala maisha yako,adui wako ni mtu wa karibu yako.
 
Huyo mgeni hatari sana.
Akikulambisha naniliu ukamuoa ujue utaishi maisha mabaya sana kuwa na mke wa namna hiyo.
 
Familia nyingi siku hizi Amani inapotea baada ya Wazazi kutangulia mbele ya haki!! Wazazi wetu Mnatuachajeee vijana wenu....
 
Ni kweli lakini anachosema yuko sawa maana najua haya yote anayonambia sio kwamba anajitungia
mfano huyo dada alofariki asingemjua kama hakuambiwa maana yeye ana miezi miwili sasa na huyo dada kafariki mda tu
Dogo wewe ni mjinga sana. Kwa akili yako hujui kuwa huyo dada anakuchonganisha na ndugu zako na wewe unaingia king mazima? Ukikuwa kiakili utanielewa nina maanisha nn.
 
Me sitegemei chochote kwao mkuu,sana wao ndo huwa wakipata shida nawasaidia

Yan tunachoshare labda ni huduma za umeme na maji ambazo nazo nachangia kama kawaida

Japo huyu dada kashanambia kua et mimi sichangii chochote na natumia tu free kitu ambacho sio kweli at all
Kumbe unaishi hapo hapo sasa mbona mwanzo ulisema unakaa karibu. Umezidi na wewe kutegemea cha ndugu utakufa masikini
 
hauna akili nzuri wewe yan unataka kukatisha undugu na kaka ako sababu ya maneno ya kuambiwa na dem ambaye umejuana nae juzi tu?

Waite wote watatu kwa pamoja afu uwaulize usikie wanasemaje
 
Me najua wazi hata kabla ya huyu dada hajaja bro wangu huwa ananichukia tu bila sababu na akamuambukiza na mke wake nasasa kila mgeni anaekuja wanamsimulia tu mabaya yangu ila kwa kuwa huyu dada tumekua nae close ndo maana nayapata vizuri
hili ndo tatizo
 
Pole sana...

Usiamini ya kuambiwa, na ugopa sana mtu anayekuletea story za kimbea ili umuone yeye mwema... kua makini


Cc: mahondaw
 
Napata shida sana kumwelewa mtu anayeleta mjadala huku alishaweka hitimisho.

Fanya kama ulivyoamua.
 
Siku zote mkaa kimya na kujisugua roho ndani kwa ndani huku ukiongelea pembeni,ujue huyo mtu ni Mnafik
Mwanaume unatakiwa ufunguke sio unakalia mambo ya kijikoni jikoni[emoji1321]‍♂️
 
Bro sisi hatukusemi vibaya, je na huyo msichana anaekupa hizo taarifa pia umemchunguza? Kumbuka sisi ni ndugu alafu unatakiwa uwe na tabia za kiume..
Wewe utaletewaje taarifa na mwanamke alafu unyamaze kimya .. Akati anaekusema ni kaka na shem wako?

Acheni kumsema mdogo wenu! Hata Mimi niliwasikia
 
Kwa kweli wanaume wanapungua kwa Kasi Sana wanabaki wavulana na wanawake ...lijitu limekuja from no where na lijitu linauelewa wa popompo linataka kuharibu msingi imara walilojenga marehemu kabla hawajaondoka ,kibaya Zaid lijitu limeshikizwa tu Kama bati ya Bibi yangu kule mwondochia ,na mpaparara nae anadai eti atakuwa kimya mpaka mdomo inuke Kama choo alilosomea DAB na kuchangia kuharibu muda na makaratasi ya nacte.DAB njoo ufuate mwezako huku kabla hajaribu.

Povu jingi sana,.
 
Back
Top Bottom