Ready to die...kikwete na ccm yako utatumaliza wengi lakini mwisho wako 2015 kumbuka maneno ya nyerere juu yako kuwa wewe ni mtoto yaani huwezi ongoza polisi wako watamaliza risasi raia tutabaki
Haya maneno ndio yale wanayo toa kina Slaa halafu wao wanasepa wengine wanauawa. Watu tuache kuishi na familia zetu tukufate wewe kwenda kufanya fujo ili Slaa awe rais, hivi unajua balaa la uhaini wewe? Rudi kwa wakuu wako uwaambie kuwa huku JF wamekustukia.
Sio woga, kwanini tupoteze maisha yetu ilimradi kabila fulani lipate urais.kwa TZ bado sana,watu tumegubikwa na uoga na usaliti.Hivyo bado tuna safari ndefu sana kuufikia ukombozi.
SANGAKA,
I can real smell a rat from your thread!!!
Yawezekana kabisa wewe ukawa katika lile kundi la Timu iliyomsulubisha Dr. Ulimboka kule msitu wa Mabwepande. Unataka upate namba za watu halafu uanze mikakati ya kuwasulubisha. Pole sana mkuu. Wewe endelea na gamba lano. Watanzania walishachagua njia bora kabisa ya kuwakomboa nayo ni M4C ya CHADEMA. Ukombozi wa Mtanzania kupitia CDM upo karibu sana. We subiri tu mwaka 2015.
Hakuna cha Slaa wala Mbowe, wao wenyewe ni waoga, au umesahau lile tukio la Arusha. Mbowe na umri wake wote aliweza kuruka ukutaKwi Kwi Kwi Labda aseme slaa au Mbowe ndio ataeleweka wewe unknown user utasubiria sana japo wapo wenye nia ya kukuunga mkono lakini Wana angalia bob we lianzishe ukipata watu 1000 basi Mimi nitachukua namba 1001
Kuna siku niliandika humu nikiomba wanjf tuungane kupinga huu udhalimu na hata ikibidi tuunde chama cha ukombozi,waliojibu kwa ustaarabu walikuwepo,kama kawaida sikukosa waliotumia viuno kufikiri,lakini mwisho bwana mmoja akasema haiwezekani tukaungana huku tukishuhudia tofauti za kiitikadi ndani ya wanajf wenyewe.Partly nakubaliana nae.Misri walitumia hii mitandao ya kijamii kufanya mapinduzi makubwa yaliyobadilisha mfumo wa kidikteta na walau wakashuhudia hatua muhimu ya kuelekea katika demokrasia kwa kufanya uchaguzi,Tunisia nao vivyo hivyo. Nasema wanajf ni watanzania halisi kwani miongoni mwa sifa ya mtz halisi ni kulalamika tu bila kuchukua hatua.Nchi ikifika hapa basi Mungu amjalie Kikwete aendelee kupata amani katika uongozi wake.Kwa mara nyingine wanajf naomba tutumie mitandao hii hasa kwa wale tuliopata bahati walau ya kubofya,na nadhani kwa kiasi kikubwa uoga si mkubwa sana.Matukio ya hivi karibuni(yaani ulimboka,ally zona na David)yanatosha,tusisubiri tukio jingine ili sisi tuendelee ku-comment.Hivi kweli hii ndo kazi tuliyoichagua,tukatae,tuingie barabarani tupinge mambo haya.Aliye tayari kuninga mkono nami niko tayari kutoa namba zangu za simu.Hatuwezi kuendelea kuivumilia hii serikali dhalimu,isiyokuwa na tofauti kabisa na serikali zilizo wazi kuwa ni za kidikteta.Nitawapa namba zangu ifikapo saa nane na dakika tano mchana ili ikiwezekana tupange pakukutaniaili nasisi tuweze kuona tutafanya nini juu ya mauaji na dhuluma zinazoendelea.Tahadhaliandikizi asijidanganye kufika,najua hii ni hatari sana mimi kujiweka wazi,lakini ni hatari zaidi kwa pandikizi atakaedhani anaweza kunipeleka msitu wa pande.Karibuni tuunganishe nguvu
Huko ni mbali mkuu, yeye atafute askari yuko peke yake halafu alianzishe nae ndio atapata majibu.Wewe kama mjasiri fanya kama wale wachina wachache Tianamen Square waliokuwa wabishi mbele ya vifaru!