Nimeamua kuwa muwazi

Antony Abel

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
264
142
A,alykum, bwana yesu asifiwe.
Natumain muwazima buheri wa afya!
Jina langu kama linavo jieleza, umri wangu ni miaka 20 naishi MOROGORO m/spaa&wilaya ya mvomero.
Hivo sio vibaya kama tutatambulishana umri na mahali tulipo.
Maana hii ya kuitana mkuu unaweza kumuita mwanao.
Ushirikiano wenu wana JF ni muhimu sana.

AKSANTEN.
 
Back
Top Bottom