UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 18,212 Reaction score 9,633 Feb 13, 2026 #341 Lax said: Mkuu nimekuuliza swali very plain, ukanijibu lakini kuna kipande hukugusia, nikakukumbusha Haya ndo majibu yako Mimi nimetafsiri labda unaona noma, kama hamna noma weka jibu tulione Click to expand... Naona mkuu unataka kujadili suala la peponi na motoni ndio unaona mie naona noma kuzungumzia, haya nakujibu wasioamini wanaenda motoni. Haya funguka sasa.
Lax said: Mkuu nimekuuliza swali very plain, ukanijibu lakini kuna kipande hukugusia, nikakukumbusha Haya ndo majibu yako Mimi nimetafsiri labda unaona noma, kama hamna noma weka jibu tulione Click to expand... Naona mkuu unataka kujadili suala la peponi na motoni ndio unaona mie naona noma kuzungumzia, haya nakujibu wasioamini wanaenda motoni. Haya funguka sasa.
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 11,870 Reaction score 17,360 Feb 13, 2026 #342 UHURU JR said: Naona mkuu unataka kujadili suala la peponi na motoni ndio unaona mie naona noma kuzungumzia, haya nakuja wasioamini wanaenda motoni. Haya lete funguka sasa. Click to expand... shukrani mkuu, maswali yangu yameishia hapo
UHURU JR said: Naona mkuu unataka kujadili suala la peponi na motoni ndio unaona mie naona noma kuzungumzia, haya nakuja wasioamini wanaenda motoni. Haya lete funguka sasa. Click to expand... shukrani mkuu, maswali yangu yameishia hapo
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 18,212 Reaction score 9,633 Feb 13, 2026 #343 Lax said: shukrani mkuu, maswali yangu yameishia hapo Click to expand... Haina shida mkuu ukiwa na maswali mengine we njoo uulize.
Lax said: shukrani mkuu, maswali yangu yameishia hapo Click to expand... Haina shida mkuu ukiwa na maswali mengine we njoo uulize.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,486 Reaction score 867,276 Feb 13, 2026 #344 Atheism: Imani nusu na robo | Page 19 | JamiiForums Atheism: Imani nusu na robo