Hapa tayari nimeondokaKinachokufanya usinipe sasa upige danadana ni kipi?
Umejuaje mimi ni Gemini?
Thibitisha kwa ushahidi usiopingika hapa.
Unakimbia tu kwa sababu umeshindwa kuthibitisha mimi ni Gemini.Hapa tayari nimeondoka
Pia siyo sahihi kwangu kujihusisha na mada za kumkejeli Mungu
Nafsi yangu inachafuka kujibizana kwenye topic za namna hii.
Endeleeni kumkataa Mungu kwa sababu tu mmesalitiwa
Sasa ukishakuwa na uthibitisho wa jambo, bado hilo jambo litabaki kuwa ni imani? Labda huo uthibitisho uwe ndani ya imani ila uthibitisho nje ya imani hakuwezi tena kuendelea kuwa imani.Mkuu , jamaa wanataka uthibitisho ili waamini, wewe kuna namna yeyote unaona unaweza wasaidia kupata uthibitisho? Na hawa jamaa wasipopata uthibitisho na wakaendelea kukataa kuamini, kuna changamoto gani inawakabili hapo baadae?
Unahamisha mada.Kujua ni jambo moja na kuthibitisha ni jambo lengine, mimi naweza kuwa nimekuona wewe kabisa unaiba pesa na hivyo nikawa najua kwamba wewe ndio uliyeiba pesa ila kujua tu haifanyi kwamba lazima nitakuwa na uthibitisho wa wewe kuiba hizo pesa kama sikuweza kutengeneza ushahidi.
mkuu sasa nimeanza kukupata mtizamo ulionao, najibu lako la swali la kwanza nimelipokea, nisaidie na hio kipande cha mwishoSasa ukishakuwa na uthibitisho wa jambo, bado hilo jambo litabaki kuwa ni imani? Labda huo uthibitisho uwe ndani ya imani ila uthibitisho nje ya imani hakuwezi tena kuendelea kuwa imani.
Binafsi inanishangaza mtu anaposema anataka uthibitisho ndio ili aamini.
Kinachowafanya wasiamini Mungu sio kukosekana uthibitisho kwa sababu watu huwa hawaamini jambo kwa sababu ya uthibitisho na ndio maana hata kilichowafanya waache kuamini Mungu haikuwa kukosekana uthibitisho.
Huu wimbo wa uthibitisho unatumika tu kufanyia ubishi na kutetea madai yao ya kudai hakuna Mungu, ndio maana tunaona atheists wanaachana na atheism na kuamini Mungu pasina kuupata huo uthibitisho.
Sasa hao wenye kutaka uthibitisho ndio ili waamini hao bado wapo kwenye ubishani tu.
Na hawa jamaa wasipopata uthibitisho na wakaendelea kukataa kuamini, kuna changamoto gani inawakabili hapo baadae?
mkuu unatumia mifano tata sana hapo, isiyo lingana uzitoKujua ni jambo moja na kuthibitisha ni jambo lengine, mimi naweza kuwa nimekuona wewe kabisa unaiba pesa na hivyo nikawa najua kwamba wewe ndio uliyeiba pesa ila kujua tu haifanyi kwamba lazima nitakuwa na uthibitisho wa wewe kuiba hizo pesa kama sikuweza kutengeneza ushahidi.
Ukifa hutawaona member wenzako kubeba kabatiNimefanya tafiti yakinifu nimekuja kugundua Mungu hayupo. Ni story tu za kutupa matumaini hewa.
Nimeamua kuwa Atheist. Nitaupa muda nao ukizingua namrudia Yesu.
Dhulma, uonevu, usaliti na ukatili umetamalaki sana.
Bora kuamini nature na kuwa mwema kwa viumbe hai hata visivyonekana.
Ni maamuz yangu binafsi.
Wapi nilikwambia kuwa nipo hapa ili kuthibitisha Mungu yupo? Toka mwanzo nilikwambia kuwa hatuwezi kuelewana kuhusu suala la uwepo wa Mungu kutokana na mtazamo wako potofu kuhusu uthibitisho.Unahamisha mada.
Usilete habari za Pesa kwenye Mungu.
Unafanya red herring fallacy.
You introduce irrelevant topic to distract the main topic.
Thibitisha Mungu yupo.
Habari za pesa, mahakama hazihusiani na Mungu.
Kwa vp mkuu?mkuu unatumia mifano tata sana hapo, isiyo lingana uzito
Suala la nini kitawakuta wasipoamini ni suala la kiimani kwa wenye kuamini uwepo wa Mungu hivyo sioni haja ya kujadili hapa kwa watu ambao hawaamini hata huyo Mungu mwenyewe.mkuu sasa nimeanza kukupata mtizamo ulionao, najibu lako la swali la kwanza nimelipokea, nisaidie na hio kipande cha mwisho
Hakuna Mungu.Wapi nilikwambia kuwa nipo hapa ili kuthibitisha Mungu yupo? Toka mwanzo nilikwambia kuwa hatuwezi kuelewana kuhusu suala la uwepo wa Mungu kutokana na mtazamo wako potofu kuhusu uthibitisho.
Unajua mkuu wewe hata hukupaswa kubishana kwenye hizi mada za Mungu kwa sababu wewe umeshafanya hitimisho kuwa kwa kukosekana uthibitisho wa kuwepo Mungu ni uthibitisho wa kutokuwepo Mungu.
Ila mkuu huwa ni uthibitisho wa aina gani hasa ambao huwa unautaka, maana watu walishatoa explanation mpaka za kisayansi kuhusu kuwepo kwa energy ambayo wanasayansi hawailewi na huenda inaweza kuwa ndio Creator, maelezo ya origin ya universe na mambo mengi tuKuna mtu kathibitisha Mungu yupo?
1. Nataka uthibitisho wa kuwapo Mungu, ulio logical, unambiguous and undisputable. No bullshit explanation.Ila mkuu huwa ni uthibitisho wa aina gani hasa ambao huwa unautaka, maana watu walishatoa explanation mpaka za kisayansi kuhusu kuwepo kwa energy ambayo wanasayansi hawailewi na huenda inaweza kuwa ndio Creator, maelezo ya origin ya universe na mambo mengi tu
Ilitakiwa ubaki na huo msimamo wako ila ukiuliza kuhusu uthibitisho kuhusu Mungu inakuwa kama hauna uhakika na msimamo wako na kuwa pengine Mungu anaweza kuwepo ndio maana unaulizia uthibitisho.Hakuna Mungu.
Ova.
kama hapa jamvini unaona noma nitumie hata pm, hilo jibu mimi ninashida naloSuala la nini kitawakuta wasipoamini ni suala la kiimani kwa wenye kuamini uwepo wa Mungu hivyo sioni haja ya kujadili hapa kwa watu ambao hawaamini hata huyo Mungu mwenyewe.
Kuona noma tena? Kama una hoja mkuu ilete tuijadili hapa, kuliko kujizungusha kuuliza maswali sijui jibu una shida nalo. Haya mambo yote yanajulikana hapa tunayajadili tu mkuu.kama hapa jamvini unaona noma nitumie hata pm, hilo jibu mimi ninashida nalo
Mkuu nimekuuliza swali very plain, ukanijibu lakini kuna kipande hukugusia, nikakukumbushaKuona noma tena? Kama una hoja mkuu ilete tuijadili hapa, kuliko kujizungusha kuuliza maswali sijui jibu una shida nalo. Haya mambo yote yanajulikana hapa tunayajadili tu mkuu.
Kwahiyo kuwa wazi mkuu kama una hoja yako wewe leta mkuu.
Suala la nini kitawakuta wasipoamini ni suala la kiimani kwa wenye kuamini uwepo wa Mungu hivyo sioni haja ya kujadili hapa kwa watu ambao hawaamini hata huyo Mungu mwenyewe.