Nimeamua kuuza figo yangu moja ya kulia ili kulipa deni la loan board

USIUZE NDUGU KIUNGO CHAKO KUTOKA MWILINI.
Wambie wawe wanakukata nusu nusu ukiajiriwa au wakate %85 inayobaki utaendeleza na biashara kidogo kidogo uku na kazi ya Mjomba President.
USIUZE FIGO NGUGU ACHA HIYO KITU KABISAAA!!!
 
Mungu alikupa figo kwa matumizi ya mwili wako na kama utatoa toa bure! Bodi ni yawatanzania,lazima ulipe utakapo kuwa na chakulipa. Nidhambi kuuza sehemu ya mwili wako.
 
Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo

Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30

Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
Kama huuzi nilengeshe mm nimuuzie yangu
 
Ukifanya hivyo hata hilo deni unalolipa utakuwa ulipoteza hiyo fedha. Yani elimu haijakukomboa kabisa. Unafanya biashara ya viungo vya mwili alivokupa Mwenyezi Mungu? Kweli? Hiyo sio tu haifai bali pia ni HARAMU.
Vp kesho ukikopa benki ukidaiwa utauza nini tena?
 
mkuu wadada siku hizi wanahangaika kununua dildo kama vipi wauzie dushe kabisa mkuu
 
Yote hayo ni maandalizi mema kwa safari ya kuzimu. Sina ushauri kama ni mhitimu wa chuo then umeshindwa kujiongeza kwa ishu ndogo tu kama hii. Pole sana.
 
Ikiuzwa figo fresh tu ikiuzwa papuchi maneno.....
Uza mwayego unatembea na m60 hivi hivi
 
Dah! Elimu ya bongo noma!!hivyo ndo una degree je usingesoma.
 
Umewahi kusikia hospitali wananunua viungo? Hata kama mtu anatoa kwa free will?
Hapa tuna tajiri anataka kumpa huyu jamaa milioni 30 na kuna maskini hawezi kutoa hiyo pesa na wote wanaumwa ugonjwa mmoja, hiyo sheria imewekwa kuzuia matukio ya matajiri kupona kwa kupitia pesa yao.

Inachotakiwa ni donor atoe kwa kigezo cha utu na siyo kuuza, hivyo M 30 atalipwa mlango wa nyuma serikali isijue.
Wewe unaishi nje ya nchi????

Watu wanauza damu kwa biskuti na sodaa
 
Back
Top Bottom