Nimeamua kuuza figo yangu moja ya kulia ili kulipa deni la loan board

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
206
250
Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo

Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30

Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,958
2,000
Kila la kheri Mkuu ila tambua kuuza figo ni kosa kisheria. Pili,afya yako itahitaji uangalizi wa hali ya Juu baada ya kuondoa Figo moja. Tatu,kuwa makini sana usije kutapeliwa figo yako,figo unatoa na hela hupati.

Mimi nakushauri umuombe Mungu na kazi utapata na harakati za kulipa hilo deni zitaanza tu. Mambo ya kuchezea maisha kwa sababu ya Million 30 siyo kiyu cha mchezo.

Mbona wengine tuna madeni ya Million 100 lakini tunapambana tu hivyo hivyo?
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,162
2,000
Uza tu mkuu ili usife na deni lao maana utawapa tabu wadhamini wako.

Huyo tajiri yako hata mimi ningempata wala nisingejiuliza mara mbili kama ningekuwa katika hali kama hiyo uliyonayo wewe.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
145,869
2,000
Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo

Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30

Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
Usijitie ulemavu katika umri huo mdogo tangu lini umeona mdeni kafungwa?
 
Mediator

Senior Member
Oct 8, 2012
134
225
Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo

Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30

Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
KWANI WAKATI UNAKOPESHWA HUKUFAHAMU KUWA UTATAKIWA KULIPA DENI? NJOO NIKUPE KAZI UENDE KULIPA DENI, ILA SIKU NYINGINE KUWA MAKINI!
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
17,587
2,000
Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo

Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30

Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
Kuuza kiungo ni kosa kisheria.

Chuo gani hiko umesoma hakijakufanya uwe na uwezo wa kujua vitu kama hivi?
Utafiti mdogo tu ungekufanya ujue kua hilo ni kosa kwa uvivu umekuja kutangaza huku. P Square walifiwa na mama yao kwa kukosa kitu ambacho kingekua kinauzwa kama wewe unavyotaka wangekua wamenunua.
 
Dec 18, 2016
12
45
Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo

Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30

Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
Acha kutania bwana!!!
Baki na figo zako 2.
Ila tafiti zinaonesha kuwa pamoja na vumbuzi unazozijua na usizojua bado binadamu hajatumia hata robo ya uwezo mkubwa Mungu aliomjalia ktk ubongo!!! Halafu jarbu kufikiria kama ungekuwa na figo moja ungefanyaje??!! Jaribu kuumiza akili mTZ MWENZANGU.
 
Mkushi Da Gama

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
3,716
2,000
umeona hiyo ndo njia ya ww kupata hela...
Umesoma chuo kikuu unashindwa kufikir njia ya kupata pesa
Kwann unaishi kwa plan moja tu ya kuajiriwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom