Nimeamua kuuza figo yangu moja ya kulia ili kulipa deni la loan board

Sizonje ni noma. Ww huku unapigika lkn yy huko anafurahia kula na kunywa na familia yake. MWAKANI NAENDA KUJIUNGA NA ISLAMIC STATE KM VIP NI PM NIKUPE MAELEKEZO KULIKO KUFA KIZEMBE KTK NCHI ISIYOJALI RAIA WAKE
 
Huyu mtuu atatuua bila sababu yoyoye zaidi ya yeye kuona Ana haki ya kulitumikia hili taifa bila kujari wengine
 
usipotoshe mkuu kutoa figo sio ulemavu ataishi kawaida tu kama mwenye figo mbili.
Usimdanganye. Mungu alipotuumba na figo mbili usidhani kuwa alikuwa mjinga. Ukiwa na figo moja den ikafail utafanyaje?
 
Tafuta laki sita nikufundishe kutafuta hela zaid ndani ya mwaka nakuhakikishia utakuwa milionea.. Ni pm mkuu.. Na unavosema million 30 ni fix tu unatushika maskio.ni pm km uko serious kufanya biashara nikupe Michongo fasta
Mwambie hapahapa
 
Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo

Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30

Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
Uza tu ulipe deni,si ulikopa?kimfaacho mtu chake
 
Duh pole ndugu kwan hamna njia nyingin ya kupata hiyo hela kama ndugu marafiki
 
Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo

Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30

Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???

Mpaka unavyoandika hapa unajua uuze au usiuze. Ushauri wa nn unataka sasa, umefika mpaka chuo huwezi fanya maamuzi magumu? Msomi gani ww?
 
Back
Top Bottom