Nimeamua kuoa baa medi

Mkuu mi hicho nimeshakiona kiasi flani,kuna mabamedi wametulia,ila usioe kwa kumwiga mtu utaingia chaka.
na wewe uwe mbunifu.
 
Mi uzoefu wangu wa kutongoza hawa mademu wanao jiita wasomi nawaogopa kama UKIMWI
We jipange tu sio kila bar mad ni malaya wengi wanatafuta maisha kama ilivyo kwa mwingine yupo sokoni au ofisini.

Wengi wana tamaa sana. wanapenda mambo makuu. wanajifanya babkubwa wakati ni hohe hahe. Na wengi wao huwa hawaolewi. wanaishia kuchezewa tu.
 
mlie mingo chukua mtoto weka kwa kuta nne za nyumba tena baamedi haitaji kitchen party wala nyakanka kazi yake tu ni unyago na kungwi tosha..
 
mlie mingo chukua mtoto weka kwa kuta nne za nyumba tena baamedi haitaji kitchen party wala nyakanka kazi yake tu ni unyago na kungwi tosha..

Halafu ni ma-fighter wa ukweli. Sio hawa wa kudekadeka.
 
Tena utawasikia tu: Swetie mbona hunifanyii suprise. mara swetie wikiendi hii nitoe out. Nani ataweza maisha hayo.

Nilichoka jamaa angu kipato chake ni laki 4.5 demu anamwoma hela akafanye shopping m.city jamaa kajikamua kampa 80 demu akamwambia kwa jamaa sweetie 80 haitoshi hii nanunua blauzi tu nataka laki 7 ndo inatosha mmh.
 
halafu atataka vitu vya bei ya juu kama simu wakati wewe mwenyewe unatumia nokia tochi
 
Utasikia sasa si unihudumie, nani sasa atakaye nihudumia ka si wewe? hao wengine wanaoku......a je?
 
Si unaona sasa!
Kwa mwanamke ambaye alikua mhudumu wa baa...ukimuoa halafu kila mwezi unampa laki 2 kama matumizi ya nyumbani, nakwambia itatosha na chenji inabaki. Mwaka wa kwanza mnanunua kiwanja, mwaka wa pili kupanga baaasi.
 
Utasikia sasa si unihudumie, nani sasa atakaye nihudumia ka si wewe? hao wengine wanaoku......a je?

Na hapo na yeye ana kazi..pengine mshahara mkubwa kuliko wewe. Pesa yake huioni hata siku moja. Hadi wazazi wake unawahudumia wewe.
 
halafu atataka vitu vya bei ya juu kama simu wakati wewe mwenyewe unatumia nokia tochi

Au utamsikia: Rafiki yangu suzy boifrend wake kamlete jifti ya gold gram 100. Na mi naomba uninunulie swetie.
 
Ma-Bar maid hukumbana na kila adha katika kazi zao hivyo wana uvumilivu mkubwa.
Halafu si rahisi kupatikana kama wengi wanavyodhani. na pia sio malaya japo kuna baadhi ya cd wamejiingiza kwenye hii kazi
 
Mchunguze, kama utaridhia weka jiko ndan. Lakin nakushauri usifanye kwa kuwa flan alifanya na akafanikiwa. Yawezekana hyo ilikuwa ni bahat yake. Kumbuka waswahili husema, 'bahati ya mtu isikulaze mlango wazi'
 
Mke ni mke bila kujali kazi yake. Ila utakuwa tayari kuvumilia wateja wake wa zamani wakisalimia? Sikilza kwanza moyo wako unakutuma vipi
 
Back
Top Bottom