Nimeamua kuoa baa medi

aiseee, umenifurahisha bibie. Thanx

Asante mkuu! IMO jamaa anaonekana ni the problem na hayuko makini (though atabisha). Katawaliwa na idea kuwa mke mwema anapatika kundi flani, to verify this attitude soma hiyo part anayosema kwamba ameshajaribu wasomi wa elimu ya juu, warembo, matajiri n.k. Hivo barmaid kwake ni last choice baada ya kuwa amefail kote!!! Anajiaminisha kuwa kundi flani ndo litamfaa, pole yake!
 
we kama umependa oa maswal ya kusema cjui wasomi,cjui kazi nzuri hayo inategemea na m2 n pia ni tabia ya m2 kijana rekebisha kauli
 
Unaweza ukaniambia connection iliyopo kati ya USOMI na MATUMIZI YA MB......CHE hadi kuwa mbovu????? (a've named it as per ur say). Mind you, argue with facts and not by matters of mere opinions!!!

Nicheki faragha nitakueleza. maana nikieleza hapa hizo sababu hii thread itafungwa au itahamishwa, na mi sina ufunguo wa kuingilia huko kwenye jukwaa lenu.
 
Mood yangu ipo normal wala sina hasira!! Halafu we ni nani hadi usiwe na matatizo? What makes you think kuwa hukuwa na matatizo? Unaweza kunishawishi kuwa u were not the problem kiasi kwamba uachane nao halafu uendelee kuwasema wao tu ndo wakosaji? Anyways, kwa kukusaidia tu kama hukunielewa vizuri, nilimaanisha kuwa nobody is perfect! Jiangalie vizuri na wewe waweza kuwa tatizo lipo kwako, na yawezekana kabisa uliwatua mzigo baada ya kuachana nao! so kuendeleza negativity kutakufanya ujisahau na kujikuta unarudia makosa hata kwa huyo mamsap mtarajiwa! Btw, I accept that onus of proof and u've to reject any hard feelings! First of all, u have that ego of selfishness in the name of love na unaangalia matakwa yako tu thats why unasema hawakufai, do you think uliwafaa? Automatically hukufit na wala hukufix na ndo maana you ended up departing! Then, do you agree kuwa you were a too much sucker? Be it like parasitic habit, too much dependant instead of creating condusive attitude of emotional conveyance as per love embrance, thats why you ended up lacking compatibility! Kikubwa wewe ni mwanaume sio? Sasa sitaki sana kusema what I observed from ur posts however I can ask you one question, kichwa au shingo, kipi kiondolewe ili kimoja kiweze kufunction properly? To be continued.........

Bibie hulali wee.
Naona hapa ulicharuka kweli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom