Nimeamua kumpuuza Tundu Lisu

Nimeamua kumpuuza Tundu Lisu

Status
Not open for further replies.

Juliana Shonza

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
2,009
Reaction score
1,607
Tuanze kwa AMANI..

Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo ya kauli hizo.

Hivi karibuni katika mahojiano yake ktk vyombo vya habari amenukuliwa akimkashifu Mhe Rais, Dkt John Pombe Magufuli kuwa ni mtu anayefanya kazi zake kwa kutaka "headlines" kwenye vyombo vya habari..

Lakini hakuishia hapo, akaeleza kuwa Mhe Magufuli ni mtu asiyefuata Sheria na kanuni za Utawala bora..akitaja kuwa hatua zinazochukuliwa "kusafisha" Serikali na Wezi Serikali ni kinyume na Sheria.

Ni Mpuuzi pekee, anayeweza kusema kuwa kufukuza wezi, wala Rushwa na wahujumu uchumi waliotengeneza mitandao ya wizi serikalini ni Kwenda kinyume na utawala bora...na kisha akadai kuwa CHAMA CHAKE, kinaendelea na mapambano dhidi ya rushwa na wezi Serikalini.

Sioni haya, wala sitaomba radhi, nitasema hili popote pale na SITAFUTA KAULI kuwa kwa upofu wa fikra alionao Mhe TUNDU ktk hili yeye ni JIPU miongoni mwa majipu yanayosumbua nchi hii.

Kwa kuwa mimi siungi mkono na nimejitenga mbali na UPUUZI nasimama kumkemea TUNDU kama vile Injili ya Bwana inavyoelekeza wema kukemea UOVU.

Nawatakia Ijumaa njema.

Wenu.

JULIANA.
 
You have a point Juliana! Ni vigumu sana kuelewa agenda ya CHADEMA! KULETA MISUGUANO ISIYO YA LAZIMA!
Kuna uzi uliletwa wa maendeleo ya kiuchumi au ya Kisiasa... Kipikianze??? Wengi walisema bora tupate maendeleo ya kiuchumi kuliko longolongo nyingi zisizo na tija na watu wenginme kuwa "wenye nchi zaidi katika shamba la bibi"kama awamu iliyopita ( ya JK.. tunaheshimu mafanikio yake ya kisiasa na uchumi.. na watu kumbeza sana. kwamba ni weak.. sasa tumebadilishiwa mbinu.. ya ukali kidogo na nidhamu... tunalalamika) For sure it will hurt more before it becomes better and accepted!
#HapaKaziTu!...
 
Wapuuzi ni wale wanadhani ni miungi watu, wanatoa matamko kinyume na taratibu na sheria za nchi, wapuuzi ni wale wanao kandamiza democracy wanaodhani eti kufanya mikutano ni uchochezi? Kwa ajili ya nini? Ni wale wanaowakapa mafuta wananchi kwa mgongo wa chupa huku maisha yao yakiendelea kuwa worse, bora ya jana... Wapuuzi ni watu wa kukurupuka mipango hakuna mithili ya nyumbu, sasa hivi kuna migration kwenda Dodoma miwaziri inadhani ni sifa, wafanyakazi wana familia watoto wanasoma, wataishi wapi, watu makini hupanga nani anaondoka leo ataish wapi, ofisi zipo?? TUNDU ANTPAS LISSU anawapinga wapuuziaji hawa...
 
Ukisikia siasa Chafu sasa ndio hii ,hatujui namna ya kufanya siasa safi.Wewe endelea kuwanyooshea vidole binadamu wenzio ila ukumbuke kipimo hicho hicho unachowapimia wengine nawe utapimiwa ...

Wakati utaamua mengi ..
 
Tindu apewe tu Ukatibu atatulia ameona gap jamaa mjanja sana. Halmashaur ya kichwa chake mmmh. Wanaomshabikia nao wafanyiwe utafiti.
 
kula matunda ya shukrani uliyo pewa na bwana mkubwa utulie zako dada. SIASA NI KIGEUGEU UWE NA AKIBA YA MANENO
La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.

La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu
 
(Hii ni thread yangu niliyoileta hapa JF tarehe 15 January 2016, kwa bahati mbaya sana mods wakaiondoa...sikutaarifiwa juu ya sababu zao za kufanya hivyo ila naamini yeyote aliyefanya hivyo aliteleza kibinadamu kama inavyotokea kwa wengine. Nimeileta tena leo hili niwajaze maarifa wanajamvi )

TUNDU ANTIPAS LISSU - Mpuuzi niliyeamua kumpuuza.

Tuanze kwa AMANI..

Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo ya kauli hizo.

Hivi karibuni katika mahojiano yake ktk vyombo vya habari amenukuliwa akimkashifu Mhe Rais, Dkt John Pombe Magufuli kuwa ni mtu anayefanya kazi zake kwa kutaka "headlines" kwenye vyombo vya habari..

Lakini hakuishia hapo, akaeleza kuwa Mhe Magufuli ni mtu asiyefuata Sheria na kanuni za Utawala bora..akitaja kuwa hatua zinazochukuliwa "kusafisha" Serikali na Wezi Serikali ni kinyume na Sheria.

Ni Mpuuzi pekee, anayeweza kusema kuwa kufukuza wezi, wala Rushwa na wahujumu uchumi waliotengeneza mitandao ya wizi serikalini ni Kwenda kinyume na utawala bora...na kisha akadai kuwa CHAMA CHAKE, kinaendelea na mapambano dhidi ya rushwa na wezi Serikalini.

Sioni haya, wala sitaomba radhi, nitasema hili popote pale na SITAFUTA KAULI kuwa kwa ujinga na upofu wa fikra alionao Mhe TUNDU ktk hili yeye ni JIPU miongoni mwa majipu yanayosumbua nchi hii.

Kwa kuwa mimi siungi mkono na nimejitenga mbali na UPUUZI nasimama kumkemea TUNDU kama vile Injili ya Bwana inavyoelekeza wema kukemea UOVU.

Nawatakia Ijumaa njema.

Wenu.

JULIANA.
Meli Chakavu, Lugumi, escrow, Epa, Rada, Nyumba za umma, Richmond, Kiwira, Meremeta, kuchakachua Katiba na Uchaguzi Mkuu, Kuhamisha Fedha za umma kienyeji, kuingilia Bunge na Mahakama.

Vioja vyote hivyo bado umekomaa tu wewe dada?
 
La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.

La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu

Vigeugeu wengine weeengi pamoja na wewe ni wale wote wanaosema flani ni fisadi na wameshindwa kumfungulia mashitaka ,pamoja na kwamba mamlaka hiyo wanayo na nguvu wanayo..

Tuwapuuzie hawa vigeugeu .....
 
Ukisikia siasa Chafu sasa ndio hii ,hatujui namna ya kufanya siasa safi.Wewe endelea kuwanyooshea vidole binadamu wenzio ila ukumbuke kipimo hicho hicho unachowapimia wengine nawe utapimiwa ...

Wakati utaamua mengi ..
Ni vyema ukajifunza kutofautisha siasa chafu na kusema KWELI. Mpuuzi sio tusi bali ni sifa ila ni sifa mbaya ambayo mtu mzima aliyetimia sawasawa kichwani hapaswi kuwa nayo.

Nikieleza kuwa Lissu ni mpuuzi, simtukani bali naelezea moja ya sifa zake kubwa anayojitanabaisha nayo kwa watu.
 
Kwa kumuanzishia Uzi kwa mara nyingine,Sidhani kama "UMEMPUUZA"..Nachokiona umekuwa tu obsessed nae.
Only if mods wasingeliuondoa uzi huu kwa mara ya kwanza nisingelilazimika kuandika tena leo hii. Nilimpuuza hapo mwanza na nampuuza hata sasa.
 
La kwanza,
Natoa shukrani zangu kwa wananchi wa Songwe walionichagua kuwa mwakilishi wao bungeni.

La pili,
Siasa sio Ukigeugeu, leo useme Lowassa fisadi kesho useme ni mtetezi wa wanyonge. Ni wapuuzi pekee ndio wanaweza kufanya siasa za ukigeugeu

Take a note very carefully.

five to ten years is very short and close

Do not fight a giant .....you never know what will this giant exist tomorrow.

Prudence could retain your fever and everyone over tomorrow's life and healthy future.

Giants are criticality pontelial to the future. .....kindly avoid them whenever possible.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom