Nimeamua kumfuata shetani, kwakuwa Mungu sijawahi kumwona na wafusi wake ni wanafiki sana

Yesu ni Mungu, mpe maisha yako akuponye na kukusamehe dhambi zako,usiwe na shingo ngumu

Hayo unasema wewe, onesha maandiko ni wapi Yesu alyhi salaam anasema "Mimi Mungu".

Mimi nakuonesha haya:

Yohana 17.3-4
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.

Hapo ni dhahiri shahiri kuwa yeye ni mtume na ametumwa tu.
 
Siku moja nikiwa nimelala (huku nina mawazo tele juu ya ugumu wa maisha) shetani mwenyewe aliniijia usingizini akaniambia atanipa chochote nikitakacho ilimradi nimsujudie yeye' nikamfukuzia mbali. Akapotea.
 
Walokole wanadai wanamwomba Yesu awapelekee naombi yao kwa Mungu mwenyezi.Na wanapiga kelele na kunena kama vichaa,kiasi cha kuwaombea kifo.
Kwakuwa shetani wanayetwambia yupo na wala hajawai kuonekana na wala hana mafundisho yake naomba niwe mfuasi wake maana hana kelele hajawai kuitisha mikutano.Karibuni tujiunge tutasonga mbele sana.
Pole sana , ukimwona utatoka nduki na kurudi huku tuliko, tuaminiao kuwa Yesu ni Bwana na Mwokozi wetu.
Si muda mrefu utakiri mwenyewe kwa mdomo wako.
Shetani ni mwongo, mharibifu, na atakupeleka kwenye moto usiozimika milele.
Utakapo tambua hilo, njia nyoofu utaitafuta mwenyewe.
 
Nami pia nijiunga na wewe kwa sababu hizi dini azieleke kabisa zimekuwa za kupiga dili tuuu
 
FaizaFoxy habari yako bhana.. mijadala ya sampuli hii huwa haina muafaka mzuri. Nakuomba yaishe mkuu. Amani iwe nawe.
Wewe unamjua huyu bibi au unamsikia tu! Ndo vita zake hizi...anazichaguaga mwenyewe na anazipigania kikamilifu hata kwa kukashfu wengine kwa sharti la yeye kushinda.

Subiri uone!
 
Hamna sehemu inayokulazimisha uamini upande upi, upande unaouchagua pia kuna maisha.....
Tukutane siku ya kiama..
 
Umeona kuna athari hapo au nnampa darsa huyo shetani mwenzenu?
acha hizo wewe,unampa darasa la imani,wakati wewe inaeleweka kabisa si wa imani hiyo,darasa gani utatoa kama si upotoshaji?,baki kwenye imani yako,hujui chochote kuhusu Ukristo.
 
Kama nimekuelewa vile?! kwa sasa shet'ani anapita huku na huko kufanya mikutano ya ndani bila kelele,tofauti na walokole kila siku runingani wakimfurahisha mungu wao.:)
 
Walokole wanadai wanamwomba Yesu awapelekee naombi yao kwa Mungu mwenyezi.Na wanapiga kelele na kunena kama vichaa,kiasi cha kuwaombea kifo.
Kwakuwa shetani wanayetwambia yupo na wala hajawai kuonekana na wala hana mafundisho yake naomba niwe mfuasi wake maana hana kelele hajawai kuitisha mikutano.Karibuni tujiunge tutasonga mbele sana.
We jamaa una akili sana,nakupa kongole.Angalia ulivyowachanganya hawa wanaojiita wafuasi wa mungu,wameacha mada yako,wanararuana wenyewe kwa wenyewe.
 
Husomeki bibi..... Wewe na rofa mleta mada hamtofautiani sana kiwango cha ujinga

Umenisoma na umenielewa na unashindwa kujibu hoja y=zangu, hakuna zaidi.

Sasa jifikirie, ushahidi wangu huu hapa:
acha hizo wewe,unampa darasa la imani,wakati wewe inaeleweka kabisa si wa imani hiyo,darasa gani utatoa kama si upotoshaji?,baki kwenye imani yako,hujui chochote kuhusu Ukristo.

Ikiwa kwa "ukristo" unamaanisha kumfata Yesu, basi leo hii hakuna mkristo mzuri na bora kuliko Muislam.

Waislam tunamfata Yesu to the dot.
 
Walokole wanadai wanamwomba Yesu awapelekee naombi yao kwa Mungu mwenyezi.Na wanapiga kelele na kunena kama vichaa,kiasi cha kuwaombea kifo.
Kwakuwa shetani wanayetwambia yupo na wala hajawai kuonekana na wala hana mafundisho yake naomba niwe mfuasi wake maana hana kelele hajawai kuitisha mikutano.Karibuni tujiunge tutasonga mbele sana.
hamia dini ya kiyahudi,
wao wanaamini mungu na shetani ni kitu kimoja.

Kule hakuna cha story za kwenda mbinguni,sijui kula matunda etc
 
Husomeki bibi..... Wewe na rofa mleta mada hamtofautiani sana kiwango cha ujinga

Umenisoma na umenielewa na unashindwa kujibu hoja zangu, hakuna zaidi.

Sasa jifikirie, ushahidi wangu huu hapa:

Yohana 17.3-4
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
 
Umenisoma na umenielewa na unashindwa kujibu hoja y=zangu, hakuna zaidi.

Sasa jifikirie, ushahidi wangu huu hapa:

Ikiwa kwa "ukristo" unamaanisha kumfata Yesu, basi leo hii hakuna mkristo mzuri na bora kuliko Muislam.

Waislam tunamfata Yesu to the dot.
Yesu yupi huyo?,huyo mnayemwita nabii Issa?,hamjui mkifuatacho
 
nimependa madayako kaka sio kwakua nampenda shetani rahasha, kwakua umefikilia nje ya box most of human beings in this world are lazy to think outside of the box. turudi kwenye mada yako sasa
Pamoja na maneno mengi kupakaziwa ama kuongelewa na wanatheolojia walio upande wa mungu swali linakuja. Kwanini shetani hana vitabu wala hoja za kujitetea kutoka ayo yote yasemwayo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom