Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Natoa huduma ya Kukufungia Greenhouse ya bei nafuu kabisa. 8m by 18m with complete Drip irrigation system & 1000lt Tank plus Free Extension Service for 3month kwa TSHS.3,200,000/- ONLY. just call 0772668500

Green house inakuwaje inafanya kazi vip, inaandaliwaje , inakuwa na vitu gan, je unaweza panda nini na mavuno yake yanakuwaje, hela yake atapata baada ya muda gani na inakuwa kwenye ukubwa gani?

Naona hivyo ndiyo vitu ulivyotakiwa kuleta hapa ili tukutafute baada ya kusoma na kuvutiwa
 
Jiongezeee Google vitakuja vyote hivyoo
 
Natoa huduma ya Kukufungia Greenhouse ya bei nafuu kabisa. 8m by 18m with complete Drip irrigation system & 1000lt Tank plus Free Extension Service for 3month kwa TSHS.3,200,000/- ONLY. just call 0772668500

Hivi mkuu kuna uwezekano wa kupata greenhouse moja kubwa ya kutosha eka nzima? Ambayo unaweza kuingiza trekta na kulima ndani yake?
 
Ingawa mimi ni mwajiriwa lakini deep inside nimejitambua kuwa mimi ni mkulima na mfugaji.

Kwa miaka kadhaa iliyopita nimekuwa nikisoma, kutathmiin na kupanga mipango mbali mbali ya kilimo na ufugaji na kuitekeleza kwa kiwango kidogo sana.

Sasa mwaka huu nimepata mabadiliko ya kikazi ambayo nataka niyatumie kutimiza ndoto zangu.

Nitaanza utekelezaji mwezi ujao na kama nikifanikiwa in shaa Allah mwisho wa mwaka nitawaletea mrejesho.
 
Mungu akuwezeshe kufikia ndoto zako mkuu!
 
HI ELNINO
Vipi Project inaendaje? Nataka nami pia niaze. Nimeagiza trakta MF Model 350. NInazo ekari 70. NInaweza kulimia majirani kwa elf 50 kwa ekari na kupiga harrow kwa kiasi hicho hicho. Nipo maeneo ya KImanzichana - kule jirani na akina Adam Malima (just 4kms kutoka nyumbani kwao). NIngependa uni-PM unipe maujanja ya kuendesha maisha pasipo kutegemea mshahara kwa kila kitu!

Mkuu salama!! Miye nipo Kimanzichana kijiji cha Mkwechembe ninamiliki heka 20 hivi. Hivi karibuni nimeagiza trekta Ford 7500 lipo nyumbani kwangu Kijichi Dar. Tangu umeandika ni muda na sasa nina imani una uzoefu wa kutosha kuhusu kilimona kazi za kulimia watu mashamba huko Kimanzichana na maeneo ya jirani.

Naomba tuwasiliane napatikana kwa moddyguyz@yahoo.com ama 0787519910 na huduma ya whatsapp kwa namba hiyo.

Natanguliza shukurani mkuu.
 
badilisha taswira ya kilimo kwa kuwasoma waliofanikiwa kupitia kilimo like page yetu
 
Hongera sana,
Mimi nataka nitoe ushuhuda juu ya utajiri uliopo kwenye Kilimo. Nilkinunua hekari nne Bagamoyo nikalima kama pilot study.

Hekari tano unaweza panda miche ya minanasi kati 80,000 na 90,000. Kwa mwaka huu wa kwanza nimevuna mananasi zaidi ya 50,000 kwa bei kati ya Tshs 700 na Tshs 1000 kwa kila nanasi. Kwa kugundua utajiri unaopatikana katika kilimo, nimenunua hekari 70 hukohuko bagamoyo na hadi sasa nimeshapanda miche 400,000 na lengo kwa mwaka huu ni kupanda miche 550,000 ili baada ya miezi 18 nianze kuuza.

Kati ya mananai 550,000 natarajia kuuza mananasi 400,000 kwakuwa huwezu kuvuna kama ulivopanda. Kwa wastani wa bei ya 800 natarajia nipate si chini ya Thss. 300,000,000. Ni kama ndoto lakini nimefanya pilot study ya kwenye shamba langu dogo nimeona inalipa, kwakuwa kwasasa wanunuzi wanagombania mananasi na kutokana na udogo wa mashamba ya wakulima, gari moja haiwezi kujaa kutoka kwenye shamba moja.

Note: Ngugu zangu, mimi naishi na kufanyakazi nje ya nchi lakini nimeona umuhimu wa kuwekeza kwenye kilimo, kwahiyo wale mliokaribu hapo nyumbani fanyeni hima kweli kilimo kwakuwa biashara za ubabaishaji umekwisha.

Nilipofika shambani kwangu na kuona watu zaidi ya 50 wanafanyakazi nikajisikia faraja sana kutoa ajira kwa Watanzania wenzangu, shime tuelekee kwenye kilimo.

Naomba kamahakuna special group inayojihusisha na kushauriana na masuala ya kilimo naomba tuianzishe ili tuweze kujadiliana mambo muhimu ya kilimo na tufahamishane tujaribu kuangalia jinsi gani tunaweza kusaidiana.

Masoko yapo mengi sana nje ya nchi, changamoto ni kwamba order zinazotakiwa ni kubwa sana, inabidi kujipanga ili kuzitimiza. Nomba tuwasiliane.
 
Hongera sana,
Mimi nataka nitoe ushuhuda juu ya utajiri uliopo kwenye Kilimo. Nilkinunua hekari nne Bagamoyo nikalima kama pilot study. Hekari tano unaweza panda miche ya minanasi kati 80,000 na 90,000. Kwa mwaka huu wa kwanza nimevuna mananasi zaidi ya 50,000 kwa bei kati ya Tshs 700 na Tshs 1000 kwa kila nanasi. Kwa kugundua utajiri unaopatikana katika kilimo, nimenunua hekari 70 hukohuko bagamoyo na hadi sasa nimeshapanda miche 400,000 na lengo kwa mwaka huu ni kupanda miche 550,000 ili baada ya miezi 18 nianze kuuza. Kati ya mananai 550,000 natarajia kuuza mananasi 400,000 kwakuwa huwezu kuvuna kama ulivopanda. Kwa wastani wa bei ya 800 natarajia nipate si chini ya Thss. 300,000,000. Ni kama ndoto lakini nimefanya pilot study ya kwenye shamba langu dogo nimeona inalipa, kwakuwa kwasasa wanunuzi wanagombania mananasi na kutokana na udogo wa mashamba ya wakulima, gari moja haiwezi kujaa kutoka kwenye shamba moja.
Note: Ngugu zangu, mimi naishi na kufanyakazi nje ya nchi lakini nimeona umuhimu wa kuwekeza kwenye kilimo, kwahiyo wale mliokaribu hapo nyumbani fanyeni hima kweli kilimo kwakuwa biashara za ubabaishaji umekwisha. Nilipofika shambani kwangu na kuona watu zaidi ya 50 wanafanyakazi nikajisikia faraja sana kutoa ajira kwa Watanzania wenzangu, shime tuelekee kwenye kilimo.
Naomba kamahakuna special group inayojihusisha na kushauriana na masuala ya kilimo naomba tuianzishe ili tuweze kujadiliana mambo muhimu ya kilimo na tufahamishane tujaribu kuangalia jinsi gani tunaweza kusaidiana. Masoko yapo mengi sana nje ya nchi, changamoto ni kwamba order zinazotakiwa ni kubwa sana, inabidi kujipanga ili kuzitimiza. Nomba tuwasiliane.

Safi...ila magroup mengi ni WEZI...komaaaaa alone
 
Hum hakuna anae miliki heka moja au mbili wote ni 20 hadi 100? duh mnatuogopesha hata kuchukua ushauri mnaotoa,
 
Usikate tamaa, hata hekari moja ukiitunza vizuri inalipa. Angalia mahesabu ya hekari moja.

Shamba lenye visiki
Gharama za kuondoa visiki = 250,000
Kulima = 70,000
Kupiga hallo = 50,000
gharama za mbegu (16,000 kwa hekari moja) =1,440,000
Gharama za kupanda Tshs 15 x 16,000) =240,000
Kupalilia kama mara tano hivi Tshs 60,000 x 5 = 300,000
Mbolea mara mbili kabla ya kuvuna jumla mifuko 10 = 700,000

Jumla ya wastani wa gharama zote hadi unavuna (Total cost) = 3,050,000

Mauzo kwa bei ya wastani wa Tshs 800 kwa nanasi moja, mimi kwasasa hivi nauzi kwa Tshs 1000 kwa nanasi toka shambani kwangu na hakuna tax, kwa hiyo wewe utapata 16,000 x 800 =12,8000
Faida 12,800,000 - 3,050,000 =9,750,00 super profit.

Sasa mimi niliamua nifanya mass production ili hata kama bei itapungua bado nitapata faida kubwa kwa ajili ya economies of scale.

Anza leo usingoje kesho.

Kila la kheri
 
Hongera sana,
Mimi nataka nitoe ushuhuda juu ya utajiri uliopo kwenye Kilimo. Nilkinunua hekari nne Bagamoyo nikalima kama pilot study. Hekari tano unaweza panda miche ya minanasi kati 80,000 na 90,000. Kwa mwaka huu wa kwanza nimevuna mananasi zaidi ya 50,000 kwa bei kati ya Tshs 700 na Tshs 1000 kwa kila nanasi. Kwa kugundua utajiri unaopatikana katika kilimo, nimenunua hekari 70 hukohuko bagamoyo na hadi sasa nimeshapanda miche 400,000 na lengo kwa mwaka huu ni kupanda miche 550,000 ili baada ya miezi 18 nianze kuuza. Kati ya mananai 550,000 natarajia kuuza mananasi 400,000 kwakuwa huwezu kuvuna kama ulivopanda. Kwa wastani wa bei ya 800 natarajia nipate si chini ya Thss. 300,000,000. Ni kama ndoto lakini nimefanya pilot study ya kwenye shamba langu dogo nimeona inalipa, kwakuwa kwasasa wanunuzi wanagombania mananasi na kutokana na udogo wa mashamba ya wakulima, gari moja haiwezi kujaa kutoka kwenye shamba moja.
Note: Ngugu zangu, mimi naishi na kufanyakazi nje ya nchi lakini nimeona umuhimu wa kuwekeza kwenye kilimo, kwahiyo wale mliokaribu hapo nyumbani fanyeni hima kweli kilimo kwakuwa biashara za ubabaishaji umekwisha. Nilipofika shambani kwangu na kuona watu zaidi ya 50 wanafanyakazi nikajisikia faraja sana kutoa ajira kwa Watanzania wenzangu, shime tuelekee kwenye kilimo.
Naomba kamahakuna special group inayojihusisha na kushauriana na masuala ya kilimo naomba tuianzishe ili tuweze kujadiliana mambo muhimu ya kilimo na tufahamishane tujaribu kuangalia jinsi gani tunaweza kusaidiana. Masoko yapo mengi sana nje ya nchi, changamoto ni kwamba order zinazotakiwa ni kubwa sana, inabidi kujipanga ili kuzitimiza. Nomba tuwasiliane.

Watanzania wengi hatuna hulka ya kufanya mambo kwa weledi wa hali ya juu.
Simama mwenyewe mkuu, ukiweka mkono wa mtu wa nje tegemea kulia.
 
Tafadhali mwanalumango tunaomba utupe na upembuzi yakinifu kuanisha matumizi yatakayo tumika mpka kufikia kupata fedha tsh 300,000,000/=. Kwani mpaka upata hii pesa lazima utakuwa umetumia pesa nyingi sana kwa ajili ya kulima, kupanda kupalilia n.k. Please pembua zaidi tuweze kuanisha mtaji, matumizi na faida itakayo salia baada ya kupata tsh 300,000,000/=.
 
Back
Top Bottom