Huyu anakunywa za kupima kaokota li chupa huko katia maji eti anakuja kuuzia sura .
Wee huoni anakunywa kahawa tena ya mgogo ile inayozungushwa kutwa nzima? K.vant ina heshima yake wewe angenunua kweli asingeiweka chini hivyo na mazingira hayo ki muonekano hata kama sio yeye anaonekana hapo basi jamaa ni mnywa mataputapu
Sent using
Jamii Forums mobile app