Nimeamua kukinukisha

Safi sana.....
baridi imekuwa kali mm mwenyewe jana nimepiga beer nyingi nina hangover...
nataka nikapate kitu cha supu alafu nalianzisha......kazi zitasubiri kesho
 
Safi sana.....
baridi imekuwa kali mm mwenyewe jana nimepiga beer nyingi nina hangover...
nataka nikapate kitu cha supu alafu nalianzisha......kazi zitasubiri kesho
Hahaha kabisa
Huku baridi alafu kna mahali
Ilikuwa twende njiaa imevurugika
Basi Acha tufanye hivi tu

Ova
 
Ukiamua kujudge kwa kuangalia angle ya picha ilivyopigwa mwenye raba ndiye kapiga hiyo picha au mtu wa pembeni kulia kwa mwenye raba ndiye kapiga picha?
 
wee jamaa mwenye kvant hiyo simpo umevaa nimeshakumanya!wee mtoto punguza ulevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…